Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 280
Unaambiwa kuwa inakuchukua miezi 15 na siku 27 kumsahau yule uliyempenda kwa moyo wako wote.
#15months+27days
@middotz_
#15months+27days
@middotz_
Ukimpa mwingine nafasi ghafla hujamsahau aliyepita ila imetafuta kipozeo upoze machunguAiseee miez 15 ni hela nimepotezaaa jaman au kaondoka na figo yangu hapana aisee siku moja inatoshaa kabisaa na kesho yake anaeza akapewa mwingine nafasi hatutak ujinga sisi[emoji13]
Utafanya yote hayo ila bado atabaki kwenye fikra zako hadi miezi 15hapana ni kufuta namba yake au badilisha kabisa na toka eneo ambalo yupo kama kwenye kazi,makazi,biashara.
mwezi tu ushasahau
Kaa miez 15 umamsahauThubutuuuuu…hivi unajua “Kwa moyo wako wote lakini?”
Sasa yawezekana huyo wa kwa moyo wako wote akakufanya usiamini mtu kwenye mahusiano au usipende tena kirahisi
Mtoa mada hayuko seriousAiseee miez 15 ni hela nimepotezaaa jaman au kaondoka na figo yangu hapana aisee siku moja inatoshaa kabisaa na kesho yake anaeza akapewa mwingine nafasi hatutak ujinga sisi[emoji13]
Ni miezi 36 ama miaka mitatuUnaambiwa kuwa inakuchukua miezi 15 na siku 27 kumsahau yule uliyempenda kwa moyo wako wote.
#15months+27days
@middotz_
View attachment 2452412
Sahihi kabisa ankoThubutuuuuu…hivi unajua “Kwa moyo wako wote lakini?”
Sasa yawezekana huyo wa kwa moyo wako wote akakufanya usiamini mtu kwenye mahusiano au usipende tena kirahisi
Miezi 15 tu kkNi miezi 36 ama miaka mitatu
Aiseee miez 15 ni hela nimepotezaaa jaman au kaondoka na figo yangu hapana aisee siku moja inatoshaa kabisaa na kesho yake anaeza akapewa mwingine nafasi hatutak ujinga sisi[emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23]badika badua mamaeeeee, ya nini kuteseka wakati Maisha ni matamu namna hii
Tule experience hapoSio kweli....namkumbuka kila siku MTU niliachana nae 10years back.....Haimaanishi sijaendelea na Maisha mengine
Sio kweli....namkumbuka kila siku MTU niliachana nae 10years back.....Haimaanishi sijaendelea na Maisha mengine