MUMU THE DON Senior Member Joined Jun 8, 2014 Posts 148 Reaction score 183 Sep 6, 2014 #1 kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin
kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 Sep 6, 2014 #2 Mimi huwa nakomaa mpaka napewa..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,084 Sep 6, 2014 #3 nampa sehemu ya kusaini
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Sep 6, 2014 #4 heri utembee na full chenchi,akisema tu unampa chenchi
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,099 Reaction score 127,834 Sep 6, 2014 #5 Otorong'ong'o said: Mimi huwa nakomaa mpaka napewa.. Click to expand... Unapewa ya kutoka wapi wakati haipo?
Otorong'ong'o said: Mimi huwa nakomaa mpaka napewa.. Click to expand... Unapewa ya kutoka wapi wakati haipo?
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 Sep 7, 2014 #6 Khantwe said: Unapewa ya kutoka wapi wakati haipo? Click to expand... Itatafutwa...
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,853 Reaction score 3,937 Sep 7, 2014 #7 hiyo wanaweza makonda wa daladala
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Sep 7, 2014 #8 duh kumbe hiki ni kitabia kikubwa, hapa city centre kwa bakharessa , kuna bint sehemu ile ya mikate , huyo kila siku hana chenji, na pengine hujifanya kukaoka akiisha kupa ile bidhaa unayohiyaji, hadi umuulize hairudi hela...? MUMU THE DON said: kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin Click to expand...
duh kumbe hiki ni kitabia kikubwa, hapa city centre kwa bakharessa , kuna bint sehemu ile ya mikate , huyo kila siku hana chenji, na pengine hujifanya kukaoka akiisha kupa ile bidhaa unayohiyaji, hadi umuulize hairudi hela...? MUMU THE DON said: kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin Click to expand...
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,940 Reaction score 105,379 Sep 7, 2014 #9 Wakuu,keep change ya kiswahili ihusike siku mojamoja.Only kidding!