Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
RC Homera amemtaka mwanaume kurudi kwa mkewe akiwa na mali walizochuma pamoja.
ndo manake anazo ameshindwa kuhudumia mchepukoAlivyoenda huko nyumba ndogo alibeba na hizo mali ama?
Alivyoenda huko nyumba ndogo alibeba na hizo mali ama?
Is fluent english speaking a sign of intelligence ?Hiiiiii speak english please
Hehehehw seems aliibeba hadi nyumba akaenda nayo
Ujinga tu.East Africa Radio
Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Isanjandugu - Katavi, aliyefahamika kwa jina la Fatuma, amemlalamikia RC Katavi Juma Homera, juu ya kukimbiwa na mume wake kwa miezi 3 na kuhamia nyumba ndogo.
RC Homera amemtaka mwanaume kurudi kwa mkewe akiwa na mali walizochuma pamoja.