Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,983
- 12,643
Mkuu kama upo vizuri unaweza ukafanya hii project hata kwa kufanya ubia na kampuni za nje ya nchi.Unakuwaga na ideas nzuri sana kuhusu bahari .kwanini usiiandikie business plan mkuu?
Yaan uwii!
Mkuu kama upo vizuri unaweza ukafanya hii project hata kwa kufanya ubia na kampuni za nje ya nchi.
Unaweza ukaandika proposal nzuri washika dau wakikubali mnafanya kazi. Sheria yetu ya kusajili meli kama inataka mzawa awe na nusu ya hisa ndio uingie ubia na mwekezaji wa nje.Hapana mkuu!sina hizo ngv!
Unaweza ukaandika proposal nzuri washika dau wakikubali mnafanya kazi. Sheria yetu ya kusajili meli kama inataka mzawa awe na nusu ya hisa ndio uingie ubia na mwekezaji wa nje.
Au muungane watanzania nadhani msiopungua 64 mtakaochangia hisa au mtaji wenu.
Katika uwekezaji wa aina hii unahitaji nguvu ya kiuchumi. Probably affiliates and partners, shida inakuja wenye nguvu hawapo tayari kutuamini sisi.Wenzetu kwenye miji yao mikubwa wamefanya hii kitu na imezalisha ajira nyingi kwa watu wao na kuwa sehemu ya kivutio.
Biashara ya meli kwa nchi za wenzetu wanapewa sana ruzuku pia misamaha ya kodi na serikali maana hizi biashara zina hitaji uwekezaji mkubwa na zina risk kubwa.Ni wAzo zuri sana!sema watz tuna kawaida ya kuogopa ideas kubwa km hizi!..kina Mo ss hv wataifanyia kazi!
Nina ideas na plans 28 Sasa nimewahi kuwaza kuhusu hili la probably 50 pps. Kuungana refer unasema 60 lakini niliona ni ngumu na haiwezekani.Unaweza ukaandika proposal nzuri washika dau wakikubali mnafanya kazi. Sheria yetu ya kusajili meli kama inataka mzawa awe na nusu ya hisa ndio uingie ubia na mwekezaji wa nje.
Au muungane watanzania nadhani msiopungua 64 mtakaochangia hisa au mtaji wenu.
Basi tuone labda kama kuna Watu wa Wizara ya ujenzi na uchukuzi/Temesa/Marine Services/ Mkuu wa Mkoa wakalichukua na kulifanyia kazi litakuwa na tija zaidi kwa taifa letu.Nina ideas na plans 28 Sasa nimewahi kuwaza kuhusu hili la probably 50 pps. Kuungana refer unasema 60 lakini niliona ni ngumu na haiwezekani.
Even if unao marafiki 200 believe me the closest, real and trustworthy friends hawawezi kuzidi 10. Wengine hatuna hata friends, girlfriend na siblings. 😔
Maisha ni yetu sote.
- Sérgi
Unaposema Wizara ya Ujenzi and co. Means unamaanisha Serikali probably (Viongozi wa Serikali). Kwa tafiti nilizofanya kwa takribani miaka 5 sasa 3 ikiwa ya uhakika na nguvu, kupitia marejeo katika maandiko yangu naona Serikali haiwezi kufanya uwekezaji ukiopo (Out-of-Sort).Basi tuone labda kama kuna Watu wa Wizara ya ujenzi na uchukuzi/Temesa/Marine Services/ Mkuu wa Mkoa wakalichukua na kulifanyia kazi litakuwa na tija zaidi kwa taifa letu.