kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,214 Apr 20, 2013 #1 Wauzaji wengi wa vingamuzi wajinadi sana juu HD (High Definition) ,Hii maana yake nini na ina umhimu gani ktk tekinolojia ya TV?
Wauzaji wengi wa vingamuzi wajinadi sana juu HD (High Definition) ,Hii maana yake nini na ina umhimu gani ktk tekinolojia ya TV?
MOST WANTED JF-Expert Member Joined Aug 16, 2011 Posts 209 Reaction score 178 Apr 20, 2013 #2 quality ya picha,rangi na sauti ktk luninga ubora wake ni hali ya juu.