Ina maana wote tulikuwa wapiga dili?

Watanzania watu wa ajabu sana,eti wengine wanailaumu serikali kwa kukosekana kwa mvua kwenye maeneo yao.
 
Watanzania watu wa ajabu sana,eti wengine wanailaumu serikali kwa kukosekana kwa mvua kwenye maeneo yao.
Umeenda OP jamaa. Anzisha uzi wako kabisa. Mbona ulichoandika hakihusiani na mada inayojadiliwa! Unajuwa mpenzi waa kitu mpaka akili inakutoa???
 
Salamu kwenu wana jamvi!

Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watu wengi wanapo ulizwa kuhusu hali ya maisha kwa sasa, wengi husema hali imekuwa ngumu sana. Lakini tunaambiwa wanaolalamika walikuwa wapigadili , kwahiyo taklibani waswahili wote tulikuwa wapigadili?
Ndo shida ya kupewa Uhuru,tulipaswa kupigania, tushakuwa watu Wa kuendeshwa
 
Back
Top Bottom