Ina maana Moshi wanamkubali sana JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ina maana Moshi wanamkubali sana JK?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Oct 15, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nimeangalia chanel 10 muda si mrefu, sijui kipindi walikiitaje. Ila nimeona wakazi wa moshi vijijini wakijitokeza kwa wingi sana wakati jk akihutubia. Pale uwanja wa mashujaa hadi mwenyewe kashangaa umati. Sasa najiuliza hawa wameku wenzangu inakuwaje? Nawauliza hao, mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo? Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi mororo? Jueni watu wenye mavazi ya utukufu (wasio mafisadi), wanaokula raha wamo katika majumba ya kifalme (nyoyo safi). Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Nabii...? Mjipange upya. Yawezekana mlienda kumuona rais anayemaliza muda wake, ambaye mengi yamesemwa juu yake na kutokea juu yake. Bado sijajua uhusiano wa nyie kumwona na kilele cha uchaguzi mkuu
   
Loading...