Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

usipende vya bure bure mwisho utaolewa.....usipende mteremko mwanaume kwanza kapime ngoma ushaungua....baada ya hao acha uzinzi.dhambi itakutafuna ukioa mwingine inakula kwako.cha muhimu tulioa heshima tu upendo hakuna
 
umefunguka vizuri kiongozi....

Mkuu natambua Na kuyajua Maumivu Ya Mapenzi.. Niliachwa na mwanamke sababu ya kutokuwa muwazi kwake.. Alinipenda, nikaigiza kupenda huku mawazo Yangu Yakiwa kwa Mwengine. Siku natambua na kuiona thamani Yake ilikuwa Siku Ambayo Alikua Akiondoka katika Mikono Yangu. Hakika naheshimu mapenzi na Kuyathamini sana
 
Anajioa mwenyewe:what: hapo ni wewe unaolewa we vp:what: anayetoa mahari ndio anaoaga siku zote, sasa we tolewa mahari tukukute umefunga kitenge kifuani unakuna nazi..!!
 
Mkuu natambua Na kuyajua Maumivu Ya Mapenzi.. Niliachwa na mwanamke sababu ya kutokuwa muwazi kwake.. Alinipenda, nikaigiza kupenda huku mawazo Yangu Yakiwa kwa Mwengine. Siku natambua na kuiona thamani Yake ilikuwa Siku Ambayo Alikua Akiondoka katika Mikono Yangu. Hakika naheshimu mapenzi na Kuyathamini sana
aisee!! pole sana mkuu
 
Kama vipi, ongea na mtaalamu aliyeshughulikia issue ya balali. Na wewe ghalfa aambiwe umekufa. Haya ndio malipo ya uzinzi
 
Jipange umpige chini utafute unaempenda umtolee mahari, mwanamke akikutolea mahari kiuanaume inakushusha sana. Atajisikia okay sasa ila baadae ikija kutokea mmepishana kiswahili utakumbushwa tu kuanzia vimkopo vya lakilaki mpaka mahari uliyolipiwa.

fresh mkuu,pamoja sana.
 
hizi story zenu mngezianzishia thread yake mngekua mmefanya bonge la ustaarabu kinoma.

Kwa hiyo ustaarabu ni kwa sisi kuanzishia thread stories zetu...

Lakini sio kumueleza ukweli binti wa watu kuwa huna maisha naye...
 
Kwa hiyo ustaarabu ni kwa sisi kuanzishia thread stories zetu...

Lakini sio kumueleza ukweli binti wa watu kuwa huna maisha naye...

hzo habari zenu za akina mamvi na magufuri zina majukwaa yake husika.
 
Mambo vipi ndugu wananchi wenzangu?
Kuna jambo linanitatiza kidogo na ningependa kupata mawazo yenu,kuna binti niko ktk mahusiano nae,huyu binti sio kwamba me nina future nae hapana niko nae kama kupotezeana muda tu na kupeana maraha ya kitandani,sasa huyu binti ofcoz kwao wako njema sana kimaisha na kwa kifupi hanaga zile za kunipiga mizinga kama ilvyo kawaida ya mabinti wa karne hii ya 21,imetokea manzi anasema niende kwao nikajitambulishe na nikamtolee mahali kabisa ili nimuoe tuwe huru,me nimemzuga tu kuwa sina pesa kwa sasa,cha ajabu amesema anajua kwao mahali na mazaga mengne nitakayoambiwa kutoa haitozidi 2million,hivyo basi kama mie sina pesa yeye atasimamia show yani atatoa hizo pesa mfukoni kwake anipe then taratibu nyingne za kuoana zifuate.
Wakuu,kiukweli me moyo wangu hauko kwa huyu binti kabisa labda ndio nianze kujifunza kumpenda kwa dhati kuanzia sasa.
nishaurini nini cha kufanya wakuu,demu anipe mahali nkamtolee kwao hapo atakua anajioa mwenyewe au namuoa mimi,wanawake wa kibongo ndio wako desperate na ndoa hivi kweli mpaka wanadiriki kujitolea mahali wenyewe?

kumbe jamaa kichwani kweupe kiasi hiki!
pumbavu kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom