Ina maana hata kukiss hujui?

Hahah pole sana,
kwa wanaume wengi wao wanaonuka midomo huwa ni watumiaji wa sigara au pombe
Yani kwangu hata uwe na Pesa kiyasi gani lakini ukinuka mdomo na jasho lilopitiliza ujue kwangu huna nafasi,hua nashanga
sana kuona mwanamke mumewe ana nuka jasho mpaka unafungua vioo au akisema unatamani ukimbie kwa harufu lakini kumwabia mumewangu tumia hii au dawa hii nzuri hamwambii sijui anamuogopa nashindwa kuelewa kabisa..
 
Unakuta mtu anakaza lips utadhani anakatwa panga..legeza lips unapotoa dendaaaa[emoji39] [emoji39]
 
Wengine midomo yao tafran imebabuka kiss unalipatia wapi
 
C bora awe na vurugu
Kuliko anuke mdomo
 
Kwaupande wako, uko vzuri et??![emoji102]
 
mbaya zaidi iwe ni FRENCH KISS
 
duuuh kweli kabisa kuna demu mmoja haya mambo hajui kabisa

tulikiss ila cha moto nilikiona lips zote azifai mtoto anameno makali yule duuuh

mpk nikajiuliza au anayanoa meno mana sio kwa kunirarua kule lips
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vita ya maumau[emoji50] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mzaramo kuongea Spanish[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mungu wangu
 
Mwingine ukiangalia tuu mdomo wake ulivo mkavu unasikia kinyaaa hata kumsogelea lol
 
Ukisikia watu wenye roho za paka ndo hao,
Wale watu wanaoweza kumpenda mtu asiyejipenda....
 
kuna wale wanaokiss wakat katoka kula wali.. yaan ukimaliza unajikuta na vipande vya mchele mdomoni....!!!!
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!! ha!!!
Ishawahi kunitokea hiyo, yani katikati ya romance najikuta naanza kufeel vipande vya mboga za majani mdomoni... Nikamuuliza vimetokea wapi akasema ametoka kula dah...
 
Mwaka mgumu sana huu.
Majipu mpaka kwenye mapenzi.

Mtu anakunyonya mdomo mpaka lips zinauma.
Jamani ukinyonywa denda sharti ulegeze misuli ya lips ili mwenzako aifaidi hiyo nyama laini. Sio kukaza misuli Kama mnyanyua vyuma.
Bora uwaambie wewe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…