MO11 situmiagi hii makitu kabisa labda itokee tu...! Maana...!!! Unaweza kujistukia unatangaza mapinduzi hivihivi hii kitu haina adabu kabisa ila ni ni nzuri kwa afya

Mh kamanda, hapo kwenye red sijakuelewa ujue!