In this life never saynever

sisi kwetu huku kwa wasukuma mpaka wake nane na bado wanahudumiwa sasa we mmoja tu angalia usije ukakimbia
 
safi hiyo!
enhhe bana tuwe tunazipata na hiz
AM IN LOOOVE!
sio kila siku kuli lia tu kaniacha kaniacha kanisaliti!
SAFI SANA nikiwe
hala hala shosti napenda ubwabwa wa harusini mie hatareeee
tafaadhali sare ya kitchen party na nini usinikose mie!
nna hamuje sasa ya kushona sare na Kongosho, btw ni wifi yako huyu!
ehehhehe ngoja patia hii habari King'asti tufanye mwendo wa kuweka order za vitenge mapemaaaa!atakua navyo Kaunga!
dah!I TS GOOD BEING IN LOVE sweerie!
 
Last edited by a moderator:
IS IT YOU AS YOU YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????? Or is it my mind playing tricks on me????? Ama kweli kila shetani na mbuyu wake! Na kwa hakika umepata mbuyu wako!

I cant be happier for you!!!!!!! Aaaaaaaaw!!!!!!!!

WE KIMBIA KIMBIA TU!
SIKU SI NYINGI UTAKUJA HAPA NA kopo la ndimu kabisaa unatutuma tukuwekee order kwa remtullah!
siku za hv karibuni swagger zako kama nazielewa elewa vileeee!
ehehehhehhehe home sweet hooome!
salimia mchaga bana!
i hope umeshachagua na team ya kushabikia kabisaaa!
 
Napendaga wajanja wakishikwa

Wanakuwa zombie wao, basi mie roho kwatuuuuuu

 
Napendaga wajanja wakishikwa

Wanakuwa zombie wao, basi mie roho kwatuuuuuu

ahahahhahahhah wanakukumbusha enzi zako enh! lara 1 anakufa tu na tai shingoni
uzuri nachompendea mdogo wangu huyu haui kuficha!
ehhehhe likimfika kooni ataopmba tu poooh!
 
Last edited by a moderator:
Mbona wasukuma hatunaga kwere na wifi zetu?
wasukuma wengi ni maskini wa akili na hawataki kujishughulisha na kujikwamua na ukitoka kimaisha kwao wanakutegemea ukwamue ukoo mzima -samahani kwa hilo nina clear evidence mimi na marafiki walioolewa na wasukuma hasa ukiwa kabila toifauti watakusumbua.huyo mtoa mada one day niliuliza kitu hapa akanitusi mimi blabla sipendi wakwe blablabla wakati mimi nilikuwa nataka kujua tu kha
 

Hongera sana!
Ila angalia mwanaume wa kukuganda naye ni kero.
 

Pole best kwa bla blaaa...........,
 

Da we utakuwa unawajua vizuri sana nimekaa usukumani eleven years this is the tribe which I always pray that I should not even the hell fall.my sister ameolewa huko the family is crying for her
 
Da we utakuwa unawajua vizuri sana nimekaa usukumani eleven years this is the tribe which I always pray that I should not even the hell fall.my sister ameolewa huko the family is crying for her
wasukuma the hell kabisa siwasemi vibaya ila ninaishi nao wengi sana !!
 
gal am sorry if at some point here in jf nilikukwaza i real am pray for me finaly am going to do something i though would never do all in all am in lov n am getting married
wasukuma the hell kabisa siwasemi vibaya ila ninaishi nao wengi sana !!
 
congratulations mumy, love is everything that every one needs in this life,i wish you nothing but the best of luck
 
Da we utakuwa unawajua vizuri sana nimekaa usukumani eleven years this is the tribe which I always pray that I should not even the hell fall.my sister ameolewa huko the family is crying for her

wasukuma the hell kabisa siwasemi vibaya ila ninaishi nao wengi sana !!

Hebu semeni hilo baya walilowafanyia, labda kama walikula kwenu hapo nitawalelewa.
 
Hhahaha kula kwangu sio ubaya Bali ni baraka Kongosho ujue watu humu wanawasemaga wachaga tu kwa sababu wametapakaa sana lakini wangewajua wasengethubutu kusifia wasukuma sitaki kuongea kwa undani lakini I wish people could know you sukma inside
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna watu wamekosa yakufanya kweli loh :smile-big:Kazi kwelikweli ...
 

sijakupata hapo, kwamba leo hii ninavyohangaika na msukuma then ije iweje? niambie baadhi ya wasukuma, hawa wa kwangu kuanzia sasa hivi wanajua cha mume wangu ni cha kwetu sote/cha familia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…