I totally agree with you its wonderful being in love....Its such a sensational feeling,impossible to describe by words....thanks gal its good to be in love
IS IT YOU AS YOU YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????? Or is it my mind playing tricks on me????? Ama kweli kila shetani na mbuyu wake! Na kwa hakika umepata mbuyu wako!
I cant be happier for you!!!!!!! Aaaaaaaaw!!!!!!!!
uje utupe feedback za wakwe wa kisukuma maana tunawajua fika cha mtoto wao kamwe hakiwezi kuwa chako hahahahaa awe duniani au amekufa ulicheka na kuninanga siku ile thanks god sasa ua going to swallow a bitter pill hapo ndipo utakikimbia kivuli chako mwenyewe .
nilijuaga kwa maneno yale hutakuja olewa kama ulivyokuwa unajisemea ,usitukanae mamba hujavuka mto .sisemi vibaya ila ulinitusi that day,na nilichukia sana japo sikukujibu
KILA LA KHERI BIBIE ,MAISHA NI HAYA HAYA HAMNA MENGINE
Ahhhh too soon my dia wait and c
usimtishe banaaa, mwenzio sahivi anajihisi kama anapaa. chezeiya penzi changa.
nimempata msukuma ananifanya natabasamu all day long
ananipikia ananikogesha ananifulia kwa bed ndo usiseme OMG