Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Natafuta mwanaume nimuoe.
Kheeee.... Mweehhh Mweeh ... Imbombo ngafu
Natafuta mwanaume nimuoe.
Kheeee.... Mweehhh Mweeh ... Imbombo ngafu
Twende tushuke kule chini nimekumiss ujue
Back to the topic...najisikia huru zaidi kugawana majukumu kulea sipendi kulelewa sipendi.
uko peke yako kati ya mia! haujaona thread ya miss chagga ?
Utangulie nikukute usije ukaniacha solemba... hamkawii nyie
hivi kuna kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli siku hizi?!
Nioe mimi.Natafuta mwanaume nimuoe.
hatuzinguani miaka mia nane...amen!!!kwikwiiii! siku mkizinguana mapenzi kwishnei, hayo siyo mapenzi ni tamaa tu!
shem hizi huwa ni keyboard tu zinaongea usidhan yanayosemwa hapa ndo yanayotendeka...aminiuko peke yako kati ya mia! haujaona thread ya miss chagga ?
shem hizi huwa ni keyboard tu zinaongea usidhan yanayosemwa hapa ndo yanayotendeka...amini
kwann nisiwe na uhakika?Una uhakika?
Natafuta mwanaume nimuoe.
shem hizi huwa ni keyboard tu zinaongea usidhan yanayosemwa hapa ndo yanayotendeka...amini
Yapo lakini ni nadra sana kuyapata.
uko peke yako kati ya mia! haujaona thread ya miss chagga ?
Siku zipi katika maisha yako yalikuwepo na unadhani yamekwenda wapi sasa?hivi kuna kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli siku hizi?!