In service training for science teachers


T

tyadcodar

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Messages
170
Likes
3
Points
35
T

tyadcodar

Senior Member
Joined Aug 16, 2011
170 3 35
nasikia kuna programe nzuri iliyoanzishwa na wizara ya elimu tz ya kubadilisha mtizamo wa ufundishaji wanafunzi badala ya mwl kuwa ndiyo kila kitu wakati somo linaendelea na sasa kitovu cha maarifa ni mwanafunzi mwenyewe mwl akiwa muwezeshaji wa mpango mzima wa mafundisho darasani.nasikia katika level ya kitaifa wizara chini ya idara ya sekondari imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana na kuwaza kuzalisha wawezeshaji kila mkoa wa tanzania.siyo hivyo tu wizara ya elimu idara ya sekondari imewahusisha wadau wote na wenye dhamana wa elimu ktk ngazi ya wilaya na mikoa yaani reo's,deos na wakuu wa shule zote tanzania.sasa inaelekea kuanzia mkoa na wilaya wanataka kuharibu mpango huu kwa kufrastrate mpango mzima au kusababisha mafunzo kuwa hafifu au kuuwa kabisa kwa kuleta siasa ktk mpango mzima.national coordinators msipoliangalia hili basi juhudi zenu sufuri,lindeni Legacy yenu basi
 

Forum statistics

Threads 1,249,422
Members 480,661
Posts 29,697,907