TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 24,745
- 24,792
Mmama mmoja aita polisi kituo chakupigia kura cha ama kujitoa ama kubaki ndani ya EU huko Uingereza . Hii ni baada ya mmama huyo kunyimwa kalamu ya wino na wasimamizi wa uchanguzi/'referendamu' na badala yake wamempa kalamu ya mti/kalamu ya risasi/penseli.
Brexit referendum: UK decides whether to 'Leave' or 'Remain' in the EU
======
Ndiyo Demokrasia hiyo...! bado mnamlaumu 'J' wa Zenji?
Brexit referendum: UK decides whether to 'Leave' or 'Remain' in the EU
======
Ndiyo Demokrasia hiyo...! bado mnamlaumu 'J' wa Zenji?