In loving Memory of my Mama

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] imeniuma, siwezi nyima haki mwanangu no matter what..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole ndg, maisha ni mzunguko, kuna kipindi nilimuuguza mama mda mrefuu mnooo, nilikata tamaa anikijua naelekea kumpoteza,

nashukuru Mungu alinipa nafasi nyingine tena ya kuwa nae karibu, toka 2014 sikutaka kukaa nae mbali mamangu, nilipo yupo alipo nipo.

haishi pamoja na baba maana baba yuko mkoa mwingine ila nauona Upendo wa Kristo umetawala katikati yetu..

Naelewa mtoa maada anachokipitia,

nikutana na changamoto yoyote nakimbilia kwa mama, nikiudhiwa mahali popote hata niko mbali ntamshtakia mama,

Mungu awape faraja walopoteza mama zao na walio Hai Mungu awape umri mrefu watulelee wenetu,

[emoji259][emoji257][emoji253] No one like Mom....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa majonzi huu poleni wapendwa[emoji25][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana aiseeeee
You are strong than what you think...
 
Pole sana Elli. Aendelee kupumzika kwenye amani ya milele mama yetu.
Sikuishi na mama yangu lakini toka nimekua mama nimeelewa ni kiasi gani mama ananipenda. Nikiwaza siku ambayo nitampoteza mama yangu huwa napata ganzi kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu.. hayo majaribu yote yatafika mwisho. Baada ya kiza huja mwanga. Usikate tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji26][emoji26][emoji26]. Pole sana na Mshukuru Mungu kwa kila jambo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni experience ngumu mno kufutika halafu sikufikiria kama mama angeondoka mapema namna ile nikiwa secondary, nilihisi naota au kuna utani nafanyiwa au madaktari wamekosea labda baadae mama angeamka... Mimi ni mgumu sana kulia lakini kila picha na sauti yake inijiapo akilini basi huishia kudondosha machozi licha ya utu uzima nilionao kwasasa na miaka mingi kupita lakini bado nina maumivu na majonzi siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bro..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana kwa kumpoteza mtu muhimu sana katika maisha, take courage.

Asante kwa kutukumbusha, wazazi ni watu wa kuenziwa na kutunza now that they're old.
 
Pole Sana ndugu yangu, nami siku hio hio, tarehe, mwezi na mwaka nilimpoteza Mzee wangu.

Inauma sanaa tena sanaa haswa mtu alieondoka akiwa Ni nguzo muhimu.
[emoji29]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. I know what you feel. Ni kama ilivyonitokea mimi. Mpaka muda haijawahi tokea hata siku moja sikumuaza mama yangu. Naona kama ndoto. R.I.P mama yangu kipenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu
Mungu azidi kukupa faraja
 
Pole Sana mkuu.
Mimi Yale machungu ya kuondokewa na mama hayajaniisha.
Yaani nikimkumbuka zinanijia picha za kumbukumbu ya yote aliyoyafanya nikiona au tukiwa pamoja.
Nimejikuta natamani arudi tuongee kwa Mara ya mwisho.

Wenye wazazi wako hai wapendeni Sana.
Ndio watu pekee wamewapenda hapa duniani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…