King Victor
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 463
- 294
Pole sanaSi bora wewe umepata msiba utu uzimani,je mimi natoka shule nipo std 4 narudi home tu nakuta watu shazi home,vilio vya kufa mtu,napokewa kwa mayowe na mama zangu wakubwa,ila daah,ndio basi tena,Mungu alimpenda zaidi,R.I.P my beloved mom,ilikuwa ni 1993
Ukishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...
Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...
Pole mkuu...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana KakaNi kawaida uchungu wa kifo ukishapita mengine unaona ni sawa tu. Nakumbuka Mimi alianza Baba nilipata wakati mgumu Sana akafatia mdogo wangu halafu Mama maumivu ni kama nilishayazoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hii stori yako japo kwa ufupi ila imenitoa chozi kwakweli.Pole sna mkuu kwa maswahibu uliyopitia wakati unakuaHeri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.
Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".
Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.
Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana Ndugu yanguPole mno Elii...
Hakuna kama MAMA
Pole sana tena sana
Nenda katoe sadaka kwa wamama unaowaona hapo itasaidia sana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.
Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".
Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.
Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mungu amrehemu Mama katika mamlaka yake huko juu
Love and peace
Pole sana mkuu,comment yako imenisikitisha mno nimejikuta nampigia simu mom nakumwambia "Nampenda sana".Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.
Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".
Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.
Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kufanya hivyo before it's too late! Mimi Pasaka Kama hii angekua ameshapiga simu "Elli mwanangu nakusubiri Pasaka, uje na Wajukuu zangu"Pole sana mkuu,comment yako imenisikitisha mno nimejikuta nampigia simu mom nakumwambia "Nampenda sana".
Mkuu we acha tu 😥😥Upendo alikuwa nao Mama yangu kwangu naomba isitokee siku ya kututenganisha.Endelea kufanya hivyo before it's too late! Mimi Pasaka Kama hii angekua ameshapiga simu "Elli mwanangu nakusubiri Pasaka, uje na Wajukuu zangu"
You are strong than what you think...
Pole sana Jodeo nitakutafutaHeri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.
Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".
Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.
Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
polee,watoto wamekuwa ni faraja sana kwa wazazi.Nipo home peke yangu then nina magumu yananikabili naishia kusiliza gospel music huku chozi linanitoka coz sina mfariji(mpweke).I wish MAMA Angekuwepo lakini ndio she is no more with me.
Kama MOM Angekuwepo najua spirit yangu ingekua high kwa ushauri wake na tungeumia pamoja na tungelia pamoja lakini ndio hayupo hayupo hayupo tena.Namshukuru MUNGU Kunipa katoto kangu ka miaka mitatu nikimuangalia na nikifikiria future yake huwa napata nguvu.
REST IN PEACE MOM AND I'LL MOURN TILL I MEET U AGAIN.