elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,474
Kitabu kinaitwaje?Hamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote
Kina chapters 33 sawa na the highest degree of freemasonry ( I’m not a devil worshipper my self but if Lucifer himself writes a book I would read it).
Hapa utayatazama maisha kupitia lens ya Military Generals... viongozi wengi katika historia namna walivyokuwa wanafikiri
Suntzu, Napoleon,Mabeyo, Mwamunyange na wengine wengi
Kanuni zavita ni kanuni za maisha na ni kanuni za mapenzi pia
View attachment 2060845
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umekisoma kweli au ndo povu la soda linakaa sekunde mbili ? Funguka kidogo watu wapate hamasa na kitabu hichoHamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote