Gololi One
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 575
- 365
afu we Gololi One vitu vingi kwako ni ushamba eeh!
Kumbuka pete ni zaidi ya pesa, ni alama na ishara ya upendo wangu kwako. Kukuachia hiyo pete ina maana bado nakupenda kitu ambacho sio kweli. Tukiachana manake nachukua pete yangu. Vingine wala sina shida ya vingine..hata gari nakuachia lakini sio pete...alama ya upendo hiyo..!
Kumbe wajua eeeeh! Pete sio chupi besti...sio gauni...ni ishara ya upendo..penzi likiisha hutakiwi kukaa nayo...!Ndiyo kuna vitu vingine ushamba bwana. Yaani tuachane alafu uje udai pete, nakupa tu kama unaona pete dili. kwani unafikiri ukiniachia nitaivaa? Hata mimi sipendezewi kuvaa pete ya mchumba ambaye tumeachana.
Kumbe wajua eeeeh! Pete sio chupi besti...sio gauni...ni ishara ya upendo..penzi likiisha hutakiwi kukaa nayo...!
Uhuni tena!!! naona hujaelewa somo we mtoto...!Haya ukishaichukua unaipeleka wapi kama sio uhuni huo, ulikuwa unatudabolisha wewe.
Uhuni tena!!! naona hujaelewa somo we mtoto...!
mi nilinyanganywa akapewa mwingine
Pete itatiwa chooni!!
Nikiichukua naaweza kuiuza au kuiweka kama kumbukumbu ya machungu ya mchumba wangu kuliwa...!Nasemea uhuni yaani maana yangu ni kwamba unaipeleka wapi hiyo pete baada ya kuichukua kutoka kwangu wakati mlengwa alikuwa ni mimi? Haya kama mimi mtoto ila naweza kuwa mkubwa wako.
Nikiichukua naaweza kuiuza au kuiweka kama kumbukumbu ya machungu ya mchumba wangu kuliwa...!
..kuwa mkubwa yawezekana lakini kwa umri wangu huwezi kufika..!..teeh
Gololi One...wangu hajawahi kuliwa nikajua, na hata akiliwa sitaki kujua coz naweza kumfanya kitu kibaya..!Eli79. Kwahiyo unamachungu na mpenzi wako kuliwa siyo. Ndio machungu unayatoa katika kuchukua pete. Hata machungu hayatoki bali yanaongezeka hapo. Mie mkubwa bwana. Haya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Gololi One...wangu hajawahi kuliwa nikajua, na hata akiliwa sitaki kujua coz naweza kumfanya kitu kibaya..!
Una ukubwa gani wewe....! hem sema
Sili hata..wala sina wazo la kula...changu kitamu hichooo...teeh!Wewe huli vya wenzako? Nitakuambia siku nyingine niko na umri gani.
Inakuwa kistaarabu kama mliachana kistaarabu, otherwise hakuna ustaarabu kwenye kuachana...!
Kama ulichiti naichukua tu...uende akakupe huyo uliyemchanulia huko..aaah!
Mwanaume anaejielewa hawezi kuja kuninyang'anya, kwanza ukija kuichukua ndo ntathibitisha hukua chaguo sahihi kwangu, labda ukija kuichukua unadhani utakua umepunguza nini? Tena waenda mpa mchumba wako mpya looh hii ni kaliii,mie nikiwa mchumba mpya nikajua navishwa pete ya ex wako siwezi kukubali,
U hali gani mshenga?