In campus life

In campus life

manonawire

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
942
Reaction score
1,228
Habar zenu wakuu

Nitangulize pole kwanza kwa matokeo mabovu ya Taifa Stars

Kama kichwa cha habar kilivyo yan life la in campus n balaa huwa liko hv J3 had alhamis utaona chupi nyng nyeupe kwny madirisha ila ijumaa had j2 huwez ziona yani zimeenda vuliwa maeneo fulan hv na wahun fulan hv

Hii n kwa wale tuliokaa first floor mamen na second floor mademu(and vicevesa) au hostel za jiran kwny baadhi ya vyuo na baadhi ya hostel

Embu tupe unachokumbuka kuhusu in campus life

Asanteni
 
Kwn mkuu wewe unakumbuka hicho tuu, kama ni hivyo utakuwa na tatizo la kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom