Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
nimemtoa kitambo in my brain.
Sasa unahitaji msaada gani?
nimemtoa kitambo in my brain.
Na mimi hapa umeniacha dilema, kwamba bado unampenda na unataka umwambie aache kukucheat ili muwe wapenzi kama zamani wakati huohuo unatueleza kwamba kwake unaona giza na tayari una mwingine......... Swali,je akiwatayari kubadili tabia utawacommodate vipi wote wawili?
JAMANI IPO HIVI;
1. Mwanaume akimpenda mwanamke... thamani ya huyo mwanamke huongezaka kadri wanavyochelewa kuingiliana kimwili kwa mara ya kwanza. na mkisha-sexy tuu... thamani ya mwanamke kwa huyo kaka hupungua ghafla.
2. mwanamke kama alisha wahi ku-sexy na mwanaume mwingine before, then yeye ni kinyume na hiyo sentensi ya kwanza. kwa mwanamke yeyote yule "mara nyingi TRUE LOVE HUWA KWA YULE ALIYEVUNJA BIKRA YAKE".
3. Ukitaka uje teseke sana maishani mwako.... BASI MPENDE MWANAMKE(THE REAL LOVE AMBAYO IDUMU KAMA MWAKA HIVI), ALAFU AKUACHE WAKATI HAJUKUTANA NAE KIMWILI. huta kuja msahau huyo dada.
(A). Sasa dada yangu, hiyo sentensi ya kwanza ndio inayo sababisha dilema zote hizo.
(B). In reletionship, jitahidini sana msiwe mnakuwa kama tatizo kwa wapenzi wenu. Hakuna mtu apendae matatizo.
Na mimi hapa umeniacha dilema, kwamba bado unampenda na unataka umwambie aache kukucheat ili muwe wapenzi kama zamani wakati huohuo unatueleza kwamba kwake unaona giza na tayari una mwingine......... Swali,je akiwatayari kubadili tabia utawacommodate vipi wote wawili?
wewe hujielewi sasa ,kama ulishamtoa kitambo where is this Dillema coming from?nimemtoa kitambo in my brain.
[h=2][/h]am out of here ukitaka nirudi hapa nitumie maombi kwa PM.:A S-confused1:The new one is just a fnd tu.sijamuaccept bado as a boynd.coz i see huyu wa kwanza bado ananipenda.but cheating tu.
The new one is just a fnd tu.sijamuaccept bado as a boynd.coz i see huyu wa kwanza bado ananipenda.but cheating tu.
may be ur da one who is not undestand.
I have never slept with him.
Nimekuelewa ya kuwa ulileta hii hapa, ww ndio umemzimikia boyfriend wako wa zamani unataka kutuzuga tu hapa.may be ur da one who is not undestand.
nimejitahidi kufuatilia mada hii kwa umakini sana na michango ya wadau. Nilichogundua ni kwamba marida bado ana utoto mwingi au hajielewi. Amekuwa na majibu mengi yanayokinzana tena sana.
Mara yuko dilema juu ya wanaume wawili, mara yeye ndo alimuacha huyo bf wake, mara huyo bf wake alimwambia kuhusu kucheat akajibiwa tuachane, mara alishamsahau huyo bf kitambo, mara hawajawahi kufanya sex naye,mara anahisi anapendwa ila tatizo ni kucheatiwa, mara ana mchumba, mara bado hajam accept huyo wa pili, mara anataka wabreak na bf wa mwanzo asijesababisha waachane na mchumba wake. Yaani ningekuwa kwenye pc ningequote yote anayojicontradict, lakini sasa natumia simu.
Duh! A lot of contradictions mpaka sijamuelewa anataka nini! Pole yake maana hajielewi na hajui ana nini na anataka nini.
Ukikuta mtu anakimbilia humu jf na post kama hiyo ujue anatafuta relief tu na hana lolote zaidi ya kujiploud. Zaidi utoto utakuwa unamsumbua sana, akikua ataacha.
Umeonaeeee!?Nimejitahidi kufuatilia mada hii kwa umakini sana na michango ya wadau. Nilichogundua ni kwamba Marida bado ana utoto mwingi au hajielewi. Amekuwa na majibu mengi yanayokinzana tena sana.