In a certain culture,,,,,

"Aisee, Harifu angalia unamwaga kithuthio eee!"
 
Ndio mambo ya hija mwaka huu Rombo.
 
Mambo ya wazee wa chini mlima Kilimanjaro
 
kaka ongeza mwendo maana huyo ndege akikukamata kitakachokutokea ni kama ambacho hao wazee wa krismas wanamtenda huyo mbuzi.
kiongozi hapa nilipo nimechoka balaa!natamani kukata tamaa!!huyo mdudu ndo maisha yenyewe,yananikimbiza balaa!!nipe dili basi taamu!
 
Last edited by a moderator:
kiongozi hapa nilipo nimechoka balaa!natamani kukata tamaa!!huyo mdudu ndo maisha yenyewe,yananikimbiza balaa!!nipe dili basi taamu!
afadhali yako una kipilipili mi nakaribia kuishiwa nywele kwa kunyonyoka kwa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…