Kua mkweli mkuu umeona watu wamechagua au unataka kukiomba ndio unataka tukujuze humu kwenye jukwaa wapigie tcu watakujuza au kama Kuna anaefahamu atatujuza,alafu kaka GENTAMYCINE-ili jukwaa la elimu tue na nidhamu kidogo,kwa mimi ninavyoelewa kitakua bado sababu ata website yao hakuna jipya kabisa.