Ufafanuzi wa rangi
Kwenye alama yoyote itakayoonekana kwenye screen audio dashboard ya gari yahoo zingatia haya
Rangi nyeupe/kijani: hakuna shida
Rangi ya njano: tahadhari, kuna kitu hakiko sawa lakini madhara sio makubwa... Ni rangi ya tahadhari pia
Rangi nyekundu: kuna shida kubwa.. Chukua hatua haraka