Important: Collapse of Ukraine government has begun . . .

Inawezakana umeandika kwa kukurupuka au miemuko mkuu, labda nikuulize swali, unavyosema kama uvamizi uliotokea Ukraine ungefanyika katika nchi ya kiafrika mpaka sasa wangekua washasalimu amri,

Je hao Ukraine bila msaada wa NATO hadi leo kungekua na vita hapo?

Kama raia wa Ukraine wamekubali kuwaunga mkono viongozi wao, basi hawana uzalendo wowote kwani wamekubali kuiaribu nchi yao wenyewe.

Hapo vita Sio Ukraine na Russia bali ni Russia na NATO lakini NATO wanatumia wanajeshi wa Ukraine na aridhi yao kupigana na Russia
Kwani mkuu Russia hasaidiwi? Kuna nchi inapigana vita pasipo kuomba misaada? Raia Ukraine wanaunga mkono nchi yao kusimama dhidi ya Russia, Je raia wote ni wajinga kusimama dhidi ya Russia ila wewe muafrika ndo mwenye akili?
 
Military Intervention and invasion in the Afghanistan territory was Compulsory and Inevitable, and at the moment it's still inevitable because Taleban has an extremely brutal and has the most craziest regime in Afghanistan. Civilians are suffering too much in Afghanistan, Taleban Forces are commiting the serious and grave human rights violations, especially in women and children.

Kuishi nchini Afghanistan chini ya Utawala wa Taleban ni sawa sawa na kuishi Jehanamu.
Naunga mkono Marekani wafikirie tena kuivamia tena Afghanistan ili kuwakomboa Wanawake, wasichana na watoto waliopo Afghanistan ambao wanapitia mateso makali sana kutoka kwa Utawala wa Taleban.
Asikwambie mtu mkuu, bila US kuwanyoosha hawa waarabu hii dunia isingekuwa sehemu salama pa kuishi.
 
Dah! Kweli wewe kichwani ni mweupe, ila una mahaba na hao Ukraine na NATO, yahani huyo Ukraine anayepewa msaada wa kila aina, apigine na Russia tena sio kwa masilai yake bali masilai ya nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.

Kama Viongozi wa Ukraine wangekua na busara walikua na uwezo wa kufanya hii vita isitokee kwa masilai ya nchi yao na raia kwa ujumla, lakini kwa kua wameamua kutumiwa na wahuni wa NATO bila shaka yote yanayotokea wanastaili kama malipo ya usaliti kwa nchi yao na raia wao

Halafu kwa silaa wanazopewa hata kma ni sisi Tanzania tukipewa msaada kama huo tupigane na Amerika bado tungewatoa kamasi America, kumbuka mgogoro wa Vietnam na America
Wangeuzia vipi vita isitokee? Nini kilipelekea Russia kuivamia Crimea?
 
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE GOVERNMENT HAS BEGUN . . .​

September 03, 2024
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE **GOVERNMENT ** HAS BEGUN . . .

Important: The collapse of the Ukraine government has started; the following ministers have resigned:
Vitaliy Stanislavovych Koval - Head of the State Property Fund of Ukraine Vitaliy Koval - Wikipedia

Ruslan Strilets - Minister of Environmental Protection and Natural Resources of Ukraine Ruslan Strilets - Wikipedia

Denys Maliuska - Minister of Justice of Ukraine Denys Maliuska - Wikipedia

Oleksandr Kamyshin - Minister of Strategic Industries Oleksandr Kamyshin - Wikipedia

their resignations still have to be processed by the Verkhovna Rada (parliament).

One source told me "The rats have begun to flee the sinking ship."
UPDATE 7:43 PM EDT --
Parliament announces reshuffle day: 50% of Cabinet of Ministers to be replaced

The Ukrainian government is planning a personnel reshuffle, with more than 50% of the Cabinet of Ministers to be replaced.
In particular, tomorrow, September 4, will be a “day of dismissals”, according to the head of the Servant of the People faction, Davyd Arakhamia. "As promised, a major government reboot can be expected this week. Over 50% of the staff of the Cabinet of Ministers will be changed," Arakhamia wrote.
According to him, "tomorrow will be a day of dismissals, and the day after tomorrow—a day of appointments." The final list will be determined at the faction meeting on September 4.

Personnel changes in the Cabinet of Ministers
Recently, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy mentioned that he is discussing potential government changes with Prime Minister Denys Shmyhal. Specifically, he emphasized the need to address the issue with the large number of acting ministers in the Cabinet Today, the sources of RBC-Ukraine in the government reported that significant personnel changes are expected in the Cabinet of Ministers this week. Rotations are also possible in the Presidential Office.
------------------++++++++++++++
Link:
Kipigo cha matunzo ya kijeshi na uhaba un ataka kutimiza kuanguka Kwa utawala wa Zelesinky
 
Wangeuzia vipi vita isitokee? Nini kilipelekea Russia kuivamia Crimea?
Nyinyi watoto mnatusumbua TU humu,kama hujui sababu kwa Nini Urusi Kaivamia Ukraine basi nenda kwenye majukwa yanayokufaa,nenda celebrity forums
 
Ukraine bado ipo vitani, pale inapolazimu, kufanya mabadiliko ya Viongozi wa Serikali katika nchi inakuwa ni kitu kisichoepukika ili kukabiliana na hali halisi iliyopo huko.
But all in all, kwa Karne hii ya 21 iliyopo, Ukraine itabaki kwenye kumbukumbu ya historia ya dunia kuwa ni miongoni mwa nchi chache sana na ya kipekee kabisa hapa duniani kuwa na Wananchi (Raia) ambao wana utangamano na umoja wa kitaifa ulio imara zaidi dhidi ya Watawala wa nchi yao licha ya kwamba Wana mitizamo na itikadi tofauti tofauti za kisiasa miongoni mwao. Kumbuka: Tangu vita hiyo ianze Watawala na Wananchi wote kabisa waliopo Ukraine wamebaki kuwa wamoja na wameungana kwa pamoja, kwa moyo mmoja, kwa nguvu moja na kwa ushirikiano mkubwa zaidi katika kuipigania nchi yao kwa 'kufa na kupona' bila kukata tamaa licha ya uchache wao. Katikà bara hili la Afrika hakuna nchi hata moja yenye Raia wenye upendo wa dhati kabisa kwa Watawala wa nchi yao wa kuweza kuwafananisha na raia wa Ukraine, hakuna.
Aidha, Endapo kama uvamizi Kama huo wa huko Ukraine ungetokea katika mojawapo ya nchi zetu hizi za Afrika, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka sasa Utawala uliopo kwenye nchi hiyo ungekuwa tayari umeangushwa na mtawala mwingine 'kibaraka' tayari angekuwa yupo madarakani, jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana kabisa kutokea nchini Ukraine. Hii ni kutokana na kuwepo kwa 'strongest cohesion bond' kati ya Watawala na Raia (wananchi) wa nchi hiyo, ukichagizwa kwa kiasi kikubwa zaidi kutokana na kuwepo kwa Utawala wa Kidemokrasia, huru na Unaowajibika kwa Wananchi wote wa nchi hiyo bila ya ubaguzi wala upendeleo usiokuwa wa haki.
Acha ugoro mkuu yaani Ukraine kuna demokrasia?
 
Asante mkuu, Asante sana.

Ninaamini kabisa mvamizi atashindwa. Uovu haujawahi kuishinda haki.

Wataleban walipigana bila kuchoka, dhidi ya mvamizi Marekani.

Baada ya takribani miaka 20, Taleban walishinda na kuingia madarakani kuongoza nchi yao ya Afghanistan.

Ameshindwa Marekani na Wataleban tu, Sembuse Putin tu!, tena mbele ya taifa imara kama Ukraine!?

Ni suala la muda, tusubiri na kuona.
Mbona mfano wako ni mbingu na ardhi mkuu, Us na Afghanistan ni mbingu na ardhi Russia na Ukraine hizi ni jamii moja isipokuwa kuna kundi la Wanazi lililopachikwa pale Kiev na wamagharibi kuitawala Ukraine kwa maslahi yao hili ndilo linalopigana na Russia na si Ukraine na ndio maana Urussi anaipiga Ukraine kiustaarbu sana pale maana kuna ndugu zake, Zeleboy na wanazi wenzie siku zao zinahesabika
 
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE GOVERNMENT HAS BEGUN . . .​

September 03, 2024
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE **GOVERNMENT ** HAS BEGUN . . .

Important: The collapse of the Ukraine government has started; the following ministers have resigned:
Vitaliy Stanislavovych Koval - Head of the State Property Fund of Ukraine Vitaliy Koval - Wikipedia

Ruslan Strilets - Minister of Environmental Protection and Natural Resources of Ukraine Ruslan Strilets - Wikipedia

Denys Maliuska - Minister of Justice of Ukraine Denys Maliuska - Wikipedia

Oleksandr Kamyshin - Minister of Strategic Industries Oleksandr Kamyshin - Wikipedia

their resignations still have to be processed by the Verkhovna Rada (parliament).

One source told me "The rats have begun to flee the sinking ship."
UPDATE 7:43 PM EDT --
Parliament announces reshuffle day: 50% of Cabinet of Ministers to be replaced

The Ukrainian government is planning a personnel reshuffle, with more than 50% of the Cabinet of Ministers to be replaced.
In particular, tomorrow, September 4, will be a “day of dismissals”, according to the head of the Servant of the People faction, Davyd Arakhamia. "As promised, a major government reboot can be expected this week. Over 50% of the staff of the Cabinet of Ministers will be changed," Arakhamia wrote.
According to him, "tomorrow will be a day of dismissals, and the day after tomorrow—a day of appointments." The final list will be determined at the faction meeting on September 4.

Personnel changes in the Cabinet of Ministers
Recently, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy mentioned that he is discussing potential government changes with Prime Minister Denys Shmyhal. Specifically, he emphasized the need to address the issue with the large number of acting ministers in the Cabinet Today, the sources of RBC-Ukraine in the government reported that significant personnel changes are expected in the Cabinet of Ministers this week. Rotations are also possible in the Presidential Office.
------------------++++++++++++++
Link:
Unaiunga mkono Russia na Uvamizi wake huko Ukraine ila unapinga Sana sera za US huko middle east na maeneo mengine, double standards
 
Inawezakana umeandika kwa kukurupuka au miemuko mkuu, labda nikuulize swali, unavyosema kama uvamizi uliotokea Ukraine ungefanyika katika nchi ya kiafrika mpaka sasa wangekua washasalimu amri,

Je hao Ukraine bila msaada wa NATO hadi leo kungekua na vita hapo?

Kama raia wa Ukraine wamekubali kuwaunga mkono viongozi wao, basi hawana uzalendo wowote kwani wamekubali kuiaribu nchi yao wenyewe.

Hapo vita Sio Ukraine na Russia bali ni Russia na NATO lakini NATO wanatumia wanajeshi wa Ukraine na aridhi yao kupigana na Russia
Ni Vivyo hivyo Russia bila msaada wa nchi za NATO katika kufufulia uchumi wake miaka ya tisini isingekuwa na jeuri ya kushambulia nchi jirani
 
Unaiunga mkono Russia na Uvamizi wake huko Ukraine ila unapinga Sana sera za US huko middle east na maeneo mengine, double standards
Hakuna double standard mkuu hapo.Hivi huoni kwamba anaye husika na vita kati ya Urusi na Ukraine ndiye huyo huyo anayehusika na vita ya Mashariki ya kati.Mkuu it is the same animal:AshkeNazi Jews,Zionists,Khazarian Mafia or the NWO Cabal.And you know what,naiunga mkono Russia kwa kuwa she is fighting her millenial enemy: the Khazarian Tribe,which is represented by the US/Zionists Israel.It is important to note that the US/ Zionists are humanity's number one enemy.
 
Unaiunga mkono Russia na Uvamizi wake huko Ukraine ila unapinga Sana sera za US huko middle east na maeneo mengine, double standards
Proved Russia desperately alitaka security guarantees from the West, hakupata,ulitaka afanye nini, asubiri awe destroyed?Haiwezekani,no Nation can do that,never,and Russia is not an exception.
 
Kwa nini Mchambuzi fikra zake ndizo anazipa kipaombele na kwamba lazima tuziamini?

Kwa nini hakutaka kuja na tahadhari na au kusema wasaliti katika serikali ya Ukraine waondoshwa?

Ukraine iko vitani miaka miwili sasa, na kwa wakati huu inapiga ndani kabisa mwa Urusi na imeshikilia eneo la urusi

Nachelea kuamini kile mchambuzi anataka kutuaminisha
Unajifariji utaki kukubali kuwa Ngalawa inazama??😂😂😂
 
Ukraine bado ipo vitani, pale inapolazimu, kufanya mabadiliko ya Viongozi wa Serikali katika nchi inakuwa ni kitu kisichoepukika ili kukabiliana na hali halisi iliyopo huko.
But all in all, kwa Karne hii ya 21 iliyopo, Ukraine itabaki kwenye kumbukumbu ya historia ya dunia kuwa ni miongoni mwa nchi chache sana na ya kipekee kabisa hapa duniani kuwa na Wananchi (Raia) ambao wana utangamano na umoja wa kitaifa ulio imara zaidi dhidi ya Watawala wa nchi yao licha ya kwamba Wana mitizamo na itikadi tofauti tofauti za kisiasa miongoni mwao. Kumbuka: Tangu vita hiyo ianze Watawala na Wananchi wote kabisa waliopo Ukraine wamebaki kuwa wamoja na wameungana kwa pamoja, kwa moyo mmoja, kwa nguvu moja na kwa ushirikiano mkubwa zaidi katika kuipigania nchi yao kwa 'kufa na kupona' bila kukata tamaa licha ya uchache wao. Katikà bara hili la Afrika hakuna nchi hata moja yenye Raia wenye upendo wa dhati kabisa kwa Watawala wa nchi yao wa kuweza kuwafananisha na raia wa Ukraine, hakuna.
Aidha, Endapo kama uvamizi Kama huo wa huko Ukraine ungetokea katika mojawapo ya nchi zetu hizi za Afrika, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka sasa Utawala uliopo kwenye nchi hiyo ungekuwa tayari umeangushwa na mtawala mwingine 'kibaraka' tayari angekuwa yupo madarakani, jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana kabisa kutokea nchini Ukraine. Hii ni kutokana na kuwepo kwa 'strongest cohesion bond' kati ya Watawala na Raia (wananchi) wa nchi hiyo, ukichagizwa kwa kiasi kikubwa zaidi kutokana na kuwepo kwa Utawala wa Kidemokrasia, huru na Unaowajibika kwa Wananchi wote wa nchi hiyo bila ya ubaguzi wala upendeleo usiokuwa wa haki.
Kwamba Russia wamejaribu kumuweka mtawala wao badala ya zelensky na imeshindikana??😀😀

Kwamba huyu zelensky sio kibaraka wa marekani baada ya kuondolewa Kwa aloekua raisi kabla yake??😀😀

Inachekesha sana
 
Ukraine bado ipo vitani, pale inapolazimu, kufanya mabadiliko ya Viongozi wa Serikali katika nchi inakuwa ni kitu kisichoepukika ili kukabiliana na hali halisi iliyopo huko.
But all in all, kwa Karne hii ya 21 iliyopo, Ukraine itabaki kwenye kumbukumbu ya historia ya dunia kuwa ni miongoni mwa nchi chache sana na ya kipekee kabisa hapa duniani kuwa na Wananchi (Raia) ambao wana utangamano na umoja wa kitaifa ulio imara zaidi dhidi ya Watawala wa nchi yao licha ya kwamba Wana mitizamo na itikadi tofauti tofauti za kisiasa miongoni mwao. Kumbuka: Tangu vita hiyo ianze Watawala na Wananchi wote kabisa waliopo Ukraine wamebaki kuwa wamoja na wameungana kwa pamoja, kwa moyo mmoja, kwa nguvu moja na kwa ushirikiano mkubwa zaidi katika kuipigania nchi yao kwa 'kufa na kupona' bila kukata tamaa licha ya uchache wao. Katikà bara hili la Afrika hakuna nchi hata moja yenye Raia wenye upendo wa dhati kabisa kwa Watawala wa nchi yao wa kuweza kuwafananisha na raia wa Ukraine, hakuna.
Aidha, Endapo kama uvamizi Kama huo wa huko Ukraine ungetokea katika mojawapo ya nchi zetu hizi za Afrika, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka sasa Utawala uliopo kwenye nchi hiyo ungekuwa tayari umeangushwa na mtawala mwingine 'kibaraka' tayari angekuwa yupo madarakani, jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana kabisa kutokea nchini Ukraine. Hii ni kutokana na kuwepo kwa 'strongest cohesion bond' kati ya Watawala na Raia (wananchi) wa nchi hiyo, ukichagizwa kwa kiasi kikubwa zaidi kutokana na kuwepo kwa Utawala wa Kidemokrasia, huru na Unaowajibika kwa Wananchi wote wa nchi hiyo bila ya ubaguzi wala upendeleo usiokuwa wa haki.
Wewe! Unajua ni wananchi wangapi wa Ukraine wamekimbia nchi yao kama wakimbizi???
 
First of all, I'm not among of the people with a short-sighted mind like you.

Huo msaada wa NATO bila ya kuwa na Wanajeshi Wapiganaji wenye morali ya kupigana Vita ingeweza kusaidia nini huko Ukraine?? Unafikiri kwamba misaada ya silaha peke yake kutoka NATO inaweza kwenda kwenye uwanja wa Vita na kuanza kupigana dhidi ya Majeshi ya Putin bila ya kuwepo kwa Watu wa kuitumia vizuri hiyo misaada ya silaha??Are you out of mind??
Hivi unafikiria kule Ukrainę hakuna majeshi ya kigeni ??Sema nchi za magharibi kupeleka wanajeshi wao vitani lazima tena Lugimbana nje ya mipaka yao lazima Rais awe na sababu nzito pia Ukraine siyo Mwanachama wa NATO hivyo ulaya aiwajibiki kwa lolote sema kwa maslahi ya magharibi wa kiongozwa na USA Walitaka jumpingu za nguvu Urusi ili Superpower iwe USA na NATO ukikumbuka Russia alivyomfurumusha Ukraine kule jimbo la krimea alilokuwa akilikalia kimabavu baada ya kugundua Marekani anataka kuweka mitambo yake! Same interest za kutaka kuweka mitambo Odesa Russia Alikataa Kujiunga na NATO sema kale kahuni kakomaza fuvu huku kakipewa maneno ya ulaghai na USA na NATO
 
Inawezakana umeandika kwa kukurupuka au miemuko mkuu, labda nikuulize swali, unavyosema kama uvamizi uliotokea Ukraine ungefanyika katika nchi ya kiafrika mpaka sasa wangekua washasalimu amri,

Je hao Ukraine bila msaada wa NATO hadi leo kungekua na vita hapo?

Kama raia wa Ukraine wamekubali kuwaunga mkono viongozi wao, basi hawana uzalendo wowote kwani wamekubali kuiaribu nchi yao wenyewe.

Hapo vita Sio Ukraine na Russia bali ni Russia na NATO lakini NATO wanatumia wanajeshi wa Ukraine na aridhi yao kupigana na Russia
Raia wa Ukraine wameungana na viongozi wao kupambana na mvamizi halafu wewe mswahili mwenzetu unasema hawana uzalendo na nchi yao,
Akili za wapi hizi??
 
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE GOVERNMENT HAS BEGUN . . .​

September 03, 2024
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE **GOVERNMENT ** HAS BEGUN . . .

Important: The collapse of the Ukraine government has started; the following ministers have resigned:
Vitaliy Stanislavovych Koval - Head of the State Property Fund of Ukraine Vitaliy Koval - Wikipedia

Ruslan Strilets - Minister of Environmental Protection and Natural Resources of Ukraine Ruslan Strilets - Wikipedia

Denys Maliuska - Minister of Justice of Ukraine Denys Maliuska - Wikipedia

Oleksandr Kamyshin - Minister of Strategic Industries Oleksandr Kamyshin - Wikipedia

their resignations still have to be processed by the Verkhovna Rada (parliament).

One source told me "The rats have begun to flee the sinking ship."
UPDATE 7:43 PM EDT --
Parliament announces reshuffle day: 50% of Cabinet of Ministers to be replaced

The Ukrainian government is planning a personnel reshuffle, with more than 50% of the Cabinet of Ministers to be replaced.
In particular, tomorrow, September 4, will be a “day of dismissals”, according to the head of the Servant of the People faction, Davyd Arakhamia. "As promised, a major government reboot can be expected this week. Over 50% of the staff of the Cabinet of Ministers will be changed," Arakhamia wrote.
According to him, "tomorrow will be a day of dismissals, and the day after tomorrow—a day of appointments." The final list will be determined at the faction meeting on September 4.

Personnel changes in the Cabinet of Ministers
Recently, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy mentioned that he is discussing potential government changes with Prime Minister Denys Shmyhal. Specifically, he emphasized the need to address the issue with the large number of acting ministers in the Cabinet Today, the sources of RBC-Ukraine in the government reported that significant personnel changes are expected in the Cabinet of Ministers this week. Rotations are also possible in the Presidential Office.
------------------++++++++++++++
Link:
Trust Turner radio show at your own risk.
 
Hal Tuners' reports are authentic and from the real source,the CIA.Remember he was a top CIA official,so he is provided with first hand Intel reports by informants and former colleagues inside the CIA and that is why the US government hates him.I have repeatly proven this fact and his reports,they are great.

So you believe the rubbish from the MSM?Pathetic.
 
Back
Top Bottom