Immo ring (Pete ya bahati)

Ni pete ambazo ameifadhiwa JINI wa mafanikio ( na kweli mafanikio utayaona) ila kwa akili za wengi wamepotezwa kwa kuaminishwa kuwa hio ni pete ya bahati ila si kweli ( japo zipo pete za bahati lakini nguvu yake si kubwa na si ya haraka )
Nielekeze jinsi yakuzipata nifanyej
 
Yes anayo anavaa. Nayo rangi ileile ya bahari. Unasema hana bahati. Hukuona alivoweza kuvuta mioyo ya watu kwenye kampeni? Alikua akitia timu sehemu watu wanadata. Sema dola haikutaka kumuachia nchi
Pia RICHMOND wahasimu wake wamebakia kutoa mapovu kwenye majukwaa lakini kumpeleka mahakamani wanaogopa,nayo pia ni bahati.
 
Mimi hata sizijui hizo Pete.

Ndio kwanza nasikia kutoka kwako
 
ndugu kwa wasioelewa ulichokiandika ni tabu ila na mimi yalinikuta tena ndugu kabisa ndo alinifanyizia na ukitegua ujinga wao huwa wanakuogopa mno na kujistukia stukia inaudhi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…