Immigration Tanzania mbona mna kero sana au serikali ya ccm haijajipanga

Freightliner

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
720
522
hawa watu kiukweli wana kero mwanzoni wakasema ili upate emergency travel document peleka nyaraka zote zifanyie scanning ili ukihitaji tena usisumbuke zitakuwa mtaandaoni lakini cha ajabu sasa hivi wanakwambia ukikata hii travel document kwa mara tano lazima uanze tena upya kuleta cheti cha kuzaliwa,sijui afisa mtendaji sasa maana yake nini...mbona mnakera sana
 
Back
Top Bottom