hapo budget haihusiki,coz paka watangaze nafasi,na idadi ya watu wanaohitajika,ina maana washajua watatekeleza vp! INSHU YA MSINGI NI KUWA WAVUMILIVU,MBONA WAKAGUZI WA ZIMAMOTO WALIKAA MWEZI NA WIKI KARIBIA 2,NDO MAJINA YAKATOKA?
Dah, ni ushauri mzuri lakini bado naumiza kichwa kwani hata wakaguzi wa Zimamoto watu Kama 40 hivi walioitwa kazini hata Interview hawakuitwa, sasa cjui tunaishi ulimwengu upi cc wa madaraja ya chini na vipato vidogo?

Nmesubiria nssf weeee holaaa, ewura wakanipiga chini,nhif wakanitupa na kule, pccb looool hata written ckuitwa! Hzi ni zile kubwa kubwa acha hzi ndogo ndogo nazo kila cku natoka kapa! Mwaka wa tatu kasoro miez miwili sasa...leo eti nijipe mapresha kusubiria uhamiaji loool moyo wangu hautodunda hata! Waniite wasiniite potelea mbali bhana! Palipo na heri kwangu Mungu atanifungulia tena kiurahiiiiiisiiii naamini hivyo...na ctochoka kuwaomba hzo kaz zao...ntaomba kila cku...kwa hyo ndugu zanguni tucjipe mapresha kabisaaaa km ni bahat yako utapata tu...
inaonekana watakaoitwa uhamiaji kutakuwa na upinzani mkali sana, ivyo basi naomba ile sera ya kuwa kuna undugulization iendelee ili wale waoga wa kuwa eti kuna watoto wa vigogo waogope hata kuja kwenye usaili. mimi sina hata ndugu ila moyo unanihakikishia nitaruka vikwazo vyote