IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

Pengine mimi ntakosa jibu zuri utakalolielewa. Ni vizuri ukawauliza wafanyakazi wa kampuni mbili tu, Mwananchi na Habari Corporation, waliopunguzwa kazi miezi michache iliyopita. Mengine nimeyaandika hapo juu kwenye post yangu nyingine, nilijitahidi kutoa dondoo kwa lugha rahisi, nimesoma economics so najua haya mambo lugha yake huwa inachanganya sometime.
Soma pia reports za BOT, kuna kitu utapata.
Gosh....wasomi kama wewe wapo kibao nchi hii. Nimesoma hiki blah blah blah blah
 
Mwachumi huwa wanaangalia mambo mengi katika kukua na viashiria vinavyoonyesha ukuaji wa uchumi, tatizo letu tumebakia katika blabla za kisiasa na matumbo yetu bila kupambana kuiondoa nchi katika aibu ya umasikini.
Vitu vinavyoweza kutuondoa katika dimbwi la umaskini ni kuboresha mambo yafuatayo
1. Nchi inatakiwa iwekeze Vya kutosha kwenye kuliko chenye tija, wakulima wawezeshwe kupata mkopo nafuu kwa ajili ya mazao ili nchi iwe na chakula cha kutosha na Ziada ya kutumia viwandani na kusafirisha kinachobakia nje.
2. Serikali lazimi iiboreshe elimu yetu kwa kurekebisha mitaala yetu ambayo inaandaa vijanavwetu kuajiriwa badala yakujiajiri.
3. Serikali lazima iboreshe viwanda vilivyopo na mazingira ya uwekezaji kwa kuondoa vikwazo mbalimbali kwa watumishi wasiofaa.
4. Miundo mbinu ya vijijini lazima iboreshwe ili kuweza kutoa Huduma kwa wakulima wa vijijini pia kuhakikisha wakulima wanafikisha mazao yako sokoni kwa wakati.
5. Serikali ipanue masoko kwa ajili ya wakulima na watu wenye viwanda, solo la ndani ni vizuri likilindwa na ni vyema kutafuta masoko murua Kutoka EAC,SADEC na Agoa.
6. Waajiriwa wa serikali wapunguziwe umri wa kustaafu iwe miaka 50, ili vijana wengi waweze kushiri katika kukwamua uchumi wetu lakini ili kuwasaidi hao ambao wamestaafu kutumia pension zao kama mitaji ili kujenga kizazi cha uchumi wa kati.
7. Serikali yetu inatakiwa ihamasishe ujasiria Mali kwa kuruhusu vijana wengi kujiingiza kwenye biashara mbalimbali zenye tija, serikali inatakiwa itoe mikopo kwa mawazo bora ya kibiashara na wakati meingine misaada ya kiuongizi kwenye biashara.
8. Serikali pia inatakiwa itoe hamasa juu ya maendeleo ya ugunuzi na maendeleo ya technologia ya Habari haya yataufanya tuuze teknolojia kama bidhaa.
9. Serikali inatakiwa ipunguze kodi kwenye biashara mbali mbali na kusaidia katika shughuli zinazousisimua uChumi wetu.Nc
10. Nchi ihakikishe inauza zaidi nje kuliko kingiza bidhaa nyingi Kutoka nje.
11. Nchi lazima igawanywe katika zone mbalimbali mfano
1. Mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma, na Rukwa iiwekwe kama zone ya kuliko wakulima wawezeshwe na wapewe pembejeo zakutosha pia viwanda vinavyohusiana na mambo ya kulimoo na kuchakata bidhaa za kilimo vijengwe hapo.
2. Mtwara na Lindi viwanda na bidhaa zote zinazojishughulisha na bidhaa za ges na mafuta vijengwe hapo,
3.Dar es salaam na Pwani na Tanga mini ya bandari hii wazo la ujenzi wa bandari kuu ya bagamoyo bado ni muhimu na hapa panatakiwa pajengwe viwanda vikubwa Vya magari, treni nk.
4. Kilimanjaro na Arusha hii inatakiwa iwe miji ya kitalii na Mimi yamfumo wa kitechologia mfano kutengeneza sim computer nk
5. Mwanza, Geita, Simiyu, na Shinyanga zone hii inatakiwa pajengwe viwanda vikubwa Vya nguo na viatu ambavyo vitasafirishwa kwenda nje.
6. Dodoma, singida na manyara viwanda vingi Vya nyama na mafutabya kula ila pia na viwanda Vya kuchakata madini
 
Hakuna ukweli wowote hapo, unajua ni nini madhara ya ukuaji wa uchumi mdogo?
1. Hamkopesheki
2. Mnakopa kwa riba kubwa

Sasa najiuliza, makusanyo yanakua, miundo mbinu inaendelea kuongezeka kama vile umeme, usafiri, afya na maji.

Sasa iweje, GDP yetu izidi kudorora. Kuna jambo hapa wala sio masihara, hawa mabeberu wana lao jambo
hyo miundombinu unayoitaja umeshasoma hyo assesment iliyofanywa na ushaangalia return yake kweny compasation kwny hilo deni?
 
Uchumi wa Tanzania unakua kwa zaidi ya 7% kwa mujibu wa NBS-Tanzania. Hakuna mwingine tunayemuamini zaidi ya NBS, hao IMF ni mawakala wa mabeberu tu mianya yao ya upigaji imebanwa..

Kwa sasa Tanzania ni level nyingine huwezi kuiweka kwenye kundi hilo maana sio level yetu.. Tanzania iko kwenye kundi la nchi zinazokuwa kiviwanda kama Brazil, India,Singapore, Malysia na Indonesia..
Pumba
 
According to IMF ni:

1. South Sudan 8.2%,
2. Rwanda 8.1%,
3. Cote d'Ivoire 7.3%,
4. Ethiopia 7.2%,
5. Senegal 6.8%,
6. Benin 6.7%,
7. Uganda 6.2%,
8. Burk.Faso 6%
9. Mozambique 6%
10. Niger 6%
11. Kenya 6%

NCHI YANGU TANZANIA IPO WAPI WAKATI TULIAMBIA UCHUMI WETU UNAKUWA KWA KASI?

=====

RTX1PAB9-e1578833011352.jpg

African economies will outperform global growth in 2020 despite a lag from its biggest countries

Last year, Africa had some of world’s fastest-growing economies and 2020 won’t be very different.

A few of the countries on the top 10 list may have changed but the IMF, World Bank and other institutions all expect above global average GDP growth.

The top performers will be South Sudan (8.2%), Rwanda (8.1%) Côte d’Ivoire (7.3%), Ethiopia (7.2%), Senegal (6.8%), Benin (6.7%) and Uganda (6.2%) along with Kenya, Mozambique, Niger and Burkina Faso all expecting 6% growth.

While these countries help push up Africa’s overall average economic growth rate forecast to 3.8% (or 3.6% for Sub Saharan Africa), these averages are weighed down closer to the global average (3.4%) by the two largest economies, Nigeria (2.5%) and South Africa (1.1%).

View attachment 1322691

Nigeria’s outlook has improved after a strong end to 2019, but most economic watchers believe it needs to grow much faster to pull large chunks of its 200-million strong population out of poverty.

Economic reform has been slower than expected since February 2019’s presidential election. South Africa’s meager growth rates are exacerbated by its ongoing electricity crisis and overall political stasis. Its leaders will likely spend part of the year dreading an inevitable debt downgrade.

Since 2020 is seen as the start of a new decade, Brookings Institution’s annual Foresight Africa report looked at the average economic growth forecasts for the next five years till 2024. This predicts Senegal (8.3%), Rwanda (7.9%), Niger (7.3% ), Uganda (7.2%) and Mozambique (6.9%) as the five fastest growing over that period.

View attachment 1322692

While these forecasts are promising, most economists and investors are paying more attention to how the reality of climate change will impact their economic prognostications.

Brookings highlights research which shows lowered crop yields, lower labor and agricultural productivity and damage to human health due to climate change will significantly decrease GDP in Africa. Global temperatures rising as much as 3°C by 2100 would have a disproportionate impact on Africa with aggregate GDP potentially dropping by as much as 8.6% after that year.

But on a more hopeful note Brookings analysts say there’s a $16 billion opportunity if African countries fully implement the African Continental Free Tree Agreement (AfCFTA). In the ideal scenario where there’s a 100% liberalization of tariffs across African member states under the agreement, the continent’s aggregate GDP would jump to $3 trillion by 2030 from $2.1 trillion today. In this scenario there would be a 33% increase in intra-African exports and 1.2% increase in employment.

One less optimistic economic highlight from the last few years has been growing concern about Africa’s rising debt and this continues into 2020. Most of the worry has been about eurobond debt with African countries issuing some $26 billion in eurobonds in 2019 more or less equivalent to 2018. Or, put another way, Africa issued more eurobonds in 2018 and 2019 that it did in all the years combined from 2003 to 2016.

While African eurobonds have been great for international investors seeking higher yields away from US treasuries, “the scale of issuance keeps prompting questions about default even though it amounted to just 1% of Africa’s 2019 GDP ($2.4 billion),” writes Charles Robertson of Renaissance Capital.

But of course, Africa is not a country and there will be trouble spots if care is not taken.

Source: Quartz Africa
Watu bwana kutoelewa sijui tutawafanya je. Projections na reallity ni vitu viwili tofauti lugha ngumu hayo ni mategemeo sio kuwa zime....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mabeberu wanashangaza sana, uchumi wetu unakua kwa kasi sana.... ila wanajifanya kama hawaoni!
 
Record pekee za ukuaji wa uchumi wetu tunazipata NBS hawa IMF wahuni tu na wanatumiwa na mabeberu.. Eti Uchumi wa South Sudan, Niger, Ethiopia na Uganda unakua kuliko Tanzania..

Hahaha South Sudan wana miezi sita hawajalipa mishahara ya watumishi, au South Sudan ya ulaya siyo hii ya EAC. Jinga kabisaa
 
Lakini 6.6 kwa hesabu zangu alizojifundisha mwalimu kasebula ni uki round off ni 7.

Tuko pazuri mno
Wasomi wetu wa uchumi wa JF wanakwambia ukuaji huu wa 6.6% wa 2019 ni irrelevant. Kwa wasomi hawa wa uchumi kitu relevant ni prediction za 2020 ambayo Tanzania haipo kwenye top ten.
 
IMF no genge la wakora,ukiwaabudu wanakutengenezea figure,kifupi hao ni mwamba tu,hawana uhalisia zaidi ya kupika data.
Uchumi wetu tutaupima wenyewe jinsi tutakavyokua tunatekeleza miradi ya maendeleo na utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi na si vinginevyo

Back
Top Bottom