IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

Record pekee za ukuaji wa uchumi wetu tunazipata NBS hawa IMF wahuni tu na wanatumiwa na mabeberu.. Eti Uchumi wa South Sudan, Niger, Ethiopia na Uganda unakua kuliko Tanzania..
Hivi nyie kima uchumi upi wa tanzania unaokuwa hata watumishi tu mnashindwa walipa mishahara...

Hivi bila purchasing power kuna uchumi!?

Yani miaka mitano sasa watu wako na mshahara wa JK...
UCHUMI GANI HUO NYIE FISI!??
 
MaMa ntilie wote JK aliowaacha sasa wanatembeza Bisi...karanga na Ndizi...

Graduates wanaendesha boda..wengine makonda..hamna ajira.

Kwani UCHUMI huko CCM una definition gani!?
 
Angalia hapa
Screenshot_20200114-172622_Chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie kima uchumi upi wa tanzania unaokuwa hata watumishi tu mnashindwa walipa mishahara...

Hivi bila purchasing power kuna uchumi!?

Yani miaka mitano sasa watu wako na mshahara wa JK...
UCHUMI GANI HUO NYIE FISI!??


Wewe hizo data za IMF achana nazo kuwa Mzalendo subiri data za NBS -Tanzania..

Sisi wenyewe ndio tunaojua ukuaji wetu wa uchumi kuliko hao IMF, data sahihi ni za NBS tunazisubiri..
 
Serikali INA kitu cha kufanya ili kuhakikisha kwamba inakuza uchumi wa nchi cha ajabu serikali yetu imeajiri vilaza serikalini na watu wenye ajili wako nje ya Utumishi wa umma,vsiasa pia zinatuharibia nchi yetu mambo ya uccm na uchadema yanaisababisha nchi kutopanga mipango madhubuti ya uchumi wetu na jinsi ya kuitekeleza mipango hiyo.

Chadema hapa una waonea Mkuu ,Chadema hawakusanyi Kodi na hawapo pia ktk Maamuzi.Mambo mengi kwa Mujibu wa Katiba yanapitishwa na kusimamiwa na walio Madarakani(CCM).
 
Irrelevant kwako. How can something grow at a decreasing rate?! That's not growth. Maybe it's shrinking.
ROBERTO 20 ni hivi..

Angalia trend ya uchumi (rates sio actual figures)

Unafanya comparison ya growth attained for a specific period of time ..

Mfano ukilinganisha labda 2015 ( 7%) 2016 (8 %) 2017 (11 %) 2018 (12%)

a) 2015 vs 2016 ni 1% increase

b) 2016 vs 2017 ni 3% increase

c) 2017 vs 2018 ni 1% increase

Inamaanisha katika actual figures utaona kutoka mwaka 2015 - 2018 uchumi unaongezeka ila ukiangalia tofauti ya ongezeko la uchumi (ratings) from point B to C ni 3% to 1% hivyo kuna -2 . Hapo ndipo husema growth ime_ increase at a decreasing rate

Hope nimeeleweka
 
Hivi nyie kima uchumi upi wa tanzania unaokuwa hata watumishi tu mnashindwa walipa mishahara...

Hivi bila purchasing power kuna uchumi!?

Yani miaka mitano sasa watu wako na mshahara wa JK...
UCHUMI GANI HUO NYIE FISI!??
Wataelewa wapi suala la purchasing power and consumption, we have the lowest consumption levels, watu ni masikini sana, uchumi gani unakuwa hamna ajira? Hamna kuongeza mishahara, investment nyingi zinakufa. Waache wapike data na hiyo NBS yao. Uchumi sio Siasa.
 
Back
Top Bottom