Pesa zipo mkuu ila serikali haitumii pesa. Na hii ni policy mojawapo katika "Monetary policies" ambayo hutumika ili serikali uweze kudhibiti uchumu including inflation. Kama pesa nying zimo mikononi mwa watu serikali inaweza kutumia hii policy kuzikusanya halafu haitazitumia hizo pesa ili iweze kuzicontrol.Hii report sio mbaya. Ila inaonekana hatutumii pesa. IMF wanashindwa kugundua kuwa pesa hakuna. Ila na wao wamekiri austerity inatumaliza. Ni vyema tukope maana project nyingi zitalala.
Inflation declined to 4.5 percent in September, below the target of 5 percent. The current account balance has improved significantly due to lower capital goods imports as externally-financed investment has slowed down and exports of gold and manufactured goods increased. The Bank of Tanzania’s foreign exchange reserves have strengthened in recent months.
umeisoma hiyo ukaielewa......ukiangalia hiyo report ndani kuna high positive things kwenye uchumi wa tz kuliko few weakeness tulizonazo.
Nilivyoielewa hiyo statement hapo juu, IMF wamecaution kuhusu hii "Tight monetary policy" inayotumika sasa hivi. In the long run inaweza kuleta shida. Kuna mahitaji ambayo ni necessary yanaweza kukosekana. Wamecaution tu. Infact naona kama wamesifu vitu vingi vingi tu.
Umeelewa walichokiongea au umekurupuka tu?Hawa IMF wanafiki Jana Waziri jenister muhagama kamjibu Mbowe swali hili na kumtolea mifano ya jinsi serikali hii ilivyo tajiri mpaka wamenunua ndege mbili cash money, sasa hawa wazungu wanaongea nini?, tafadhali sana tunaomba IMF wasitu drive drive
ukisoma vizuri hiyo ripoti ndipo utajua kwanini mtaani watu wanalalamika maisha magumu,serikali isipospend akadeal tu katika kukusanya revenue lazima mzunguko wa pesa upungue ndo kitu kinachotokea kwa sasa,the only solution ni kwa serikali kuanza kuspend pesa wanazokusanya tu.Hata hizo few ni luga ya mvuto yaani chambo kwenye ndoano...
Isome hiyo statement hapo juu. IMF wamesifu vitu vingi sana vinavyopo sasa hivi "Preliminary data for the first half of 2016 indicate that economic growth was strong and that the projected growth rate of around 7 percent for the year as a whole remains within reach.VP na deni LA taifa wamesifia pia??
Aliteleza, 7.9 ilikuwa quarterly growth, 7.2 annuali have not read it all, but i have spotted some positivity i will come back when its due
kumbe na wewe umeliona hilo mkuu. tusimlaumu sana mleta mada na wote wanaomtetea nadhani wana tatizo la kuelewa lughahii report haiendani na headline title ya hapo juu. IMF inaonyesha kuwa tunaenda vizuri katika kuimpliment miradi yetu na pia ni vyema tukope ili miradi yetu iende kwa wakati .
aliyeandika hii mada ana tatizo la lugha, bora angei-edit akabakiza negatives tu , labda tungemuelewa lakini hata hivyo bado tunge-google na kumuumbua tu.I conquer with you.
mleta mada atakuwa miongoni mwa wale UDOMERSUmesoma na kuelewa hasa kuhusu deni la taifa,
Hiyo policy inafahamika, hapa huenda ni structural reforms kuliko monetary control. Hii ina maana ni control of government expenditure through efficiency use of government resources rather than monetary control. The government performances on important sectors cast shadow on whether we have sufficient resources to cater our needs. Ukitazama ile budget ya trillion 29 uwezekano wa kupata pesa ile ni negligible.Pesa zipo mkuu ila serikali haitumii pesa. Na hii ni policy mojawapo katika "Monetary policies" ambayo hutumika ili serikali uweze kudhibiti uchumu including inflation. Kama pesa nying zimo mikononi mwa watu serikali inaweza kutumia hii policy kuzikusanya halafu haitazitumia hizo pesa ili iweze kuzicontrol.