Sawa mkuu aluta continua victory ascerta.Wakuu,
Nimeambatanisha ripoti nzima hapa.
Nitaweka uchambuzi wangu kwa kina.
Hukoseagi mkuu...Mkuu zitto tunaomba utoe interpretation juu ya hii report ili na jiwe na yeye aelewe tofauti na hapo wapiga zumari wake watamlisha matango pori.
Tunasubiri, weka kwa lugha ya kiswahil ili na sisi akina yes, no, tukatambe huko vijiweni.Wakuu,
Nimeambatanisha ripoti nzima hapa.
Nitaweka uchambuzi wangu kwa kina.
Wakuu,
Nimeambatanisha ripoti nzima hapa.
Nitaweka uchambuzi wangu kwa kina.
Kumbe na wewe ni mfatiliaji mzuriAsante Zitto,ngoja nikainyonye nitarudi kutoa maoni yangu.