IMF Names Tanzania as 7th leading African economy

Tz imejitahidi japo gap bado kubwa uki compare na Kenya au Ethiopia
Kutoka 85 hadi 56 smh!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
However in the list Tanzania is listed as 8th as opposed to the Headline. Am trying to figure out why or how?.., Nonetheless I have to scrutinize the list; criteria used, methodology applied, analysis of data presented etc.
 
nmesisoma habari naona wameiacha misri kwenye tathmin yao wann?ila bara hili ni maskini aisee kama tz inakua ya saba huyo wa mwsho cjui ana hali gani
No kweli kabisa! Tuko down sana!! and am not seeing viongozi wakijikakamua vile inatakikana, ni watu wachache wanajaribu, but majority of African leaders wanaotaka kujinufaisha wenyewe in the expense of the citizens.
 
nmesisoma habari naona wameiacha misri kwenye tathmin yao wann?ila bara hili ni maskini aisee kama tz inakua ya saba huyo wa mwsho cjui ana hali gani
Ni kweli kabisa! Tuko down sana!! and am not seeing viongozi wakijikakamua vile inatakikana, ni watu wachache wanajaribu, but majority of African leaders wanaotaka kujinufaisha wenyewe in the expense of the citizens.
 
k.JPG
tt.JPG
 
nmesisoma habari naona wameiacha misri kwenye tathmin yao wann?ila bara hili ni maskini aisee kama tz inakua ya saba huyo wa mwsho cjui ana hali gani
No kweli kabisa! Tuko down sana!! and am not seeing viongozi wakijikakamua vile inatakikana, ni watu wachache wanajaribu, but majority of African leaders wanataka kujinufaisha wenyewe in the expense of the citizens.
 
IMF names Tanzania as 7th leading African economy

Though still far from catching up with Kenya. My take am happy East Africa is rising fast to be the envy of Africa in the near future. I like what am seeing.
Tuseme tu ukwel kama mmesoma between lines Egypt ni 3rd after S.A. so that means Tz ni ya tisa and Ghana ndio inafunga Top 10...
See Kenya na $88bln wakat Tz ni $56bln...The topic of interest now is why heading is not tallying contents ?
 
Am wondering too! Nia ya mwandishi ilikua nini? is it a deliberate error or sensetionalism?
 
gap inaongezeka au haiongezeki maana kila kukicha naskia wimbo wa "tutaipiku Kenya very soon" na ati "Tz is the fastest growing economy in Africa". kumbe hii growth ya T-zuzu is just a drop in the ocean
 
so kama ingeipiku kenya ndo ungeamin iko faster kuliko yenu? mbn ya india iko faster kuliko ya china lakin still india iko behind ile ya china? hakuna asiejua km yenu iko juu east africa mkuu hebu jiamin na tuliza akili yako maana unatema pumba tu hapa
 
Back
Top Bottom