Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,279
SnuraKati ya WB na Tanzania yupi chura.
SnuraKati ya WB na Tanzania yupi chura.
Wewe ni 'ignorant.'Watz sijui tuko na inferiority thinking, can't you even imaging there authorities c_ ar taking duty to endorse those laws, everything is Misconducting presidential authority.
Why not abusing the Parliament we phase out during electional time? Ifike hatua tuwe tunapoint moja kwa moja mamlaka husika zilitunga hizo sheria , hata hao IMF kwann wasilikosoe Bunge letu na wanakimbilia kuikosoa serikali? Hawajui ya kuwa bunge ndo chombo pekee kilichotumika kutunga hizo sheria?.
Afu na ww mwenye haka kakoment nilokokakot hujui haya yote ?
Hiki kingereza kimenichefua sana. Kwann usiandike kiswahili tu?Watz sijui tuko na inferiority thinking, can't you even imaging there authorities c_ ar taking duty to endorse those laws, everything is Misconducting presidential authority.
Why not abusing the Parliament we phase out during electional time?
Wao sio wajinga kuilaumu serikali, wanajua fika kuwa bunge la Tanzania ni MUHURI TU. Mambo yote huamuliwa na serikali. That's all.Watz sijui tuko na inferiority thinking, can't you even imaging there authorities c_ ar taking duty to endorse those laws, everything is Misconducting presidential authority.
Why not abusing the Parliament we phase out during electional time? Ifike hatua tuwe tunapoint moja kwa moja mamlaka husika zilitunga hizo sheria , hata hao IMF kwann wasilikosoe Bunge letu na wanakimbilia kuikosoa serikali? Hawajui ya kuwa bunge ndo chombo pekee kilichotumika kutunga hizo sheria?.
Afu na ww mwenye haka kakoment nilokokakot hujui haya yote ?
Jiongeze ndugu siyo kila kitu mpaka utafuniwe!Kati ya WB na Tanzania yupi chura.
Kwa hyo bunge ndo linaandaa muswada then linaupitisha?? Hujui kuwa ni sirikali inaandaa na kupeleka muswada bungeni, na kwa mazingira ya Tz lile bunge ni rubber stamp tu!...Ifike hatua tuwe tunapoint moja kwa moja mamlaka husika zilitunga hizo sheria , hata hao IMF kwann wasilikosoe Bunge letu na wanakimbilia kuikosoa serikali? Hawajui ya kuwa bunge ndo chombo pekee kilichotumika kutunga hizo sheria?.
Afu na ww mwenye haka kakoment nilokokakot hujui haya yote ?
kwa hyo chura ndo jiwe, au?Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.