Wapo kaka...kuna rafiki yangu mmoja hivi alikuwa ana tabia ya kumtokea kila mwanamke anayedhani ni mzuri kwake.
Mbaya zaidi kuna wakati anaweza hata kuwatongoza wanawake wawili hadi watatu wanaofahamiana...ilifika mahali wanawake wakawa wanamchora tu.