miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
hahahahahaha nimecheka sana, may be yeye ni BOT
eti miss strong, ulimpa jibu gani hilo lifuko la pesa?Ndo zao wengine mkuu Mokoyo......khaaaa nilimshangaa huyo.
Heeee kumbe wengine hazina inayotembea......fuko la hela!!!!!!!!!!
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi
ha ha ha..., na ulimkomesha kweli. vip yule jamaa anaekuzidi umri ushamkubalia?unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!
mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,
sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!
kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi
eti miss strong, ulimpa jibu gani hilo lifuko la pesa?
Mara ya kwanza nilimuacha.......,nikampuuzia.Kuna siku nikamwambia nataka ninunue banda(nyumba) yako then nibomoe ili nifunge bembea watoto wawe wanacheza.
Alikasirika......lakin siku hiz anacheka tu akiniona,tunaheshimiana mkuu Mokoyo
hahahaha alikuwa hajui miss strong, naye anaweza dharau ee?
Wengine ukiwakataa unapunguza mikosi na majanga.unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!! mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana..., sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!! kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
ha ha ha..., na ulimkomesha kweli. vip yule jamaa anaekuzidi umri ushamkubalia?
Wengine ukiwakataa unapunguza mikosi na majanga.
Unakutanaga na vilaza wasiojitambua.Mzee inakuaje hadi binti anakataa, Haijawahi nitokea ati!!!
Unakutanaga na vilaza wasiojitambua.
nimekupata,leo leojina la kitabu linasadifu yaliyomo! Upo?
Kuna sehemu moja kulikuwa na mabint wawil m2 na mamdogo, mshikaji kamtongoza mamdogo akakataa na kumweleza mtoto na akamponda sn hampendi kabisa. Mshikaji kamtongoza mtoto akakubali na wameoana sasa ni mwaka wa5. mamdogo anawachukia mtoto na mumewe!
[/B]sasa ukimuuliza kwa nini amechukia sijui atajibu nini,ana act kaibiwa mume!( hawa viumbe hawaeleweki/hawajielewi)
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi