Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi
maisha yanaendelea ,na wakubahatika ana bahatikasi hadi akutake,asipokutaka je!!!!!!!!
maisha yanaendelea ,na wakubahatika ana bahatika
yep, haina shida akabahatike huko,ila asifikiri kunirudia . naamini bahati(mimi) ni zaidi ya bahati atakazokutanazo mbelesi nae yupo atakaembahatisha huko aendako!!!!!!!!!
yep, haina shida akabahatike huko,ila asifikiri kunirudia . naamini bahati(mimi) ni zaidi ya bahati atakazokutanazo mbele
naamini hivyo(kwa hiyo ni swala la imani tu),japo binafsi mtu akinikataa simwambii kapoteza bahati, japo ndani ya feeling naamin kapoteza ndio maana akijafahamu baadae kwamba nilikuwa madini anakuwa kachelewa(bahati siwi mara mbili).fahamu our life is what our thoughts make itunajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!
mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,
sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!
kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
si hadi akutake,asipokutaka je!!!!!!!!
Ndo hapo thatha, lakini thithi bado tupogo
naamini hivyo(kwa hiyo ni swala la imani tu),japo binafsi mtu akinikataa simwambii kapoteza bahati, japo ndani ya feeling naamin kapoteza ndio maana akijafahamu baadae kwamba nilikuwa madini anakuwa kachelewa(bahati siwi mara mbili).fahamu our life is what our thoughts make it
Ukiona mwanaume anatongoza tongoza sana wanawake kama jogoo la mzee Kifaruhande linavyomiliki mtetea wote mtaa mzima, basi ujue mwanaume huyo hajui anataka nini kwa mwanamke!!
mimi usiponikubali haraka haraka sibembelezi,mind you girls mnapoteza bahati bure! na hata baadae unitake tena ndo inakuwa imetoka ,hairudi
unajuaje wewe ni zaid ya hao atakaokutana nao mbelei!!!!!!!
mie kuna kakijana kalinitongoza kama wewe na sikukaa nimkubali eti ananiambia UTANIKUMBUKA sana...,
sijui nimepoteza bahati!!!I was like WHAT!!!!!!!!!!!! kama hii ni bahati basi iache iende!!!!!
kila anaekutongoza ukamkataa/umepotezea haimaanishi umepoteza bahat
Yaaani hiyo wanaume wanayo sanaa Heaven on earth.........
Me yupo aliyeniambia eti kumkataa yeye ni sawa nakupiga teke fuko la pesa!!!!!!!!!nikaona ananiletea masikhara......
Jamani MWENYE BAHATI HABAHATISHI!!!!!!!
hahahahahaha nimecheka sana, may be yeye ni BOTMe yupo aliyeniambia eti kumkataa yeye ni sawa nakupiga teke fuko la pesa!!!!!!!!!nikaona ananiletea masikhara