MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 295
- 679
Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT.
Mojawapo ya vitendo vinavyotia hasira sana ni kuuzia walimu T-shirt kwa bei ya juu na kuchukua Shilingi 7500 kwenye kila fulana inayouzwa kwa walimu. Hii ni tamaa iliyopindukia inayompa maumivu kila mwanachama isipokuwa Maganga mwenyewe na kundi lake. Yaani kila mwanachama wa CWT anaponunua T-shirt basi 7500 inaenda kwa Maganga moja kwa moja kupitia wakala wake!
Pia, Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama na kusimamia matakwa ya chama kikamilifu. Kutozingatia haya mahitaji na mawazo ya walimu kunaleta mgawanyiko na kudhoofisha umoja wa chama cha walimu, ambacho ni muhimu kwa ustawi wetu.
Ongezeko la makato ya ada ya uanachama bila ridhaa ya wanachama ni jambo lingine linalokera na kuleta sintofahamu ndani ya hiki chama chetu. Hii kimsingi ni kukiuka demokrasia na kuonyesha udhaifu katika mfumo unaolinda haki za walimu. Kifupi Mwalimu Maganga anatumia chama cha walimu kwaajili ya kujinufaisha yeye na tumbo lake.
Ukosefu wa uwazi katika mapato na matumizi ya fedha za chama ni suala lingine linaloumiza sana, Vilevile kuhusika kwa Bwana Maganga katika unyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa makao makuu ni jambo lisilokubalika na linalotia doa sifa ya chama. Mwalimu mwenzetu ameota mapembe, shime achukuliwe hatua.
Kwa kuongezea, tuhuma za kujihusisha na ushirikina ni kitu kinachosemekana kumpa ujasiri wa kufanya uchafu wote anaoufanya bila uoga. Mimi kama Mwalimu siuogopi uchawi wako Bwana Maganga na unapaswa kujua walimu tumepoteza imani na uongozi wako wa kitapeli na ni muda muafaka uondoke wewe na genge lako ndani ya CWT.