mimi pia unajua ninavyokupenda sana mdogo wangu
wewe wasema mie nawik wik tuu hewani navuta upepo mwanana wa soul mate.........:A S-heart-2:
EMT hapo kwenye red naona ushaanza kuchanganya madawa................Soul mate anapatikana ndani ya wiki?
Mbona kila mtu angekuwa na "soul mate"?
Umenikumbusha alisema alipunguza sijui kilo tatu ndani ya wiki moja kwa kunywa supu ya .......
mbona wamejaa chit chat? we peleka thread kule wataku pm wengi tuu.
Kumbe ulimpata kule?
katika majukwaa ambayo hutanikuta nikishangaa ni huko chit chat, walaah umekosea.
EMT stop fishing around, do u think u r invisible??? hahahahaha, u r seen,You know me? How do you know me?
Don't tell you got me as another soul mate.
EMT stop fishing around, do u think u r invisible??? hahahahaha, u r seen,
I know you yes because I have see u with my eyes hahah
You, EMT be my soul mate???? nop pliz noo way, dont u see my soul mate is smiling and u cant even shake ur lips no way umesikia vibaya hata sijakuita soul mate. Bado niko kwenye shatashata nakula raha.
EMT, U know what, me and my soul mate are still looking at each other, staring and smiling, we are always happy so wherever u r trying to put my face to look like urs umeshindwa na imeshindikana.Telling me to "stop fishing around" is not a solution.
And, I'm not invisible because there is only one Invisible at JF.
I can be a soul mate in waiting in case you drop this one kama ulivyom-drop yule uliyeomba ushauri wa kumpa a surprise on his birthday.
My heart love once not more than twice, I have fall to my soul mate only no one else oooh!!
Noted. You act as if you know me.
But you wish you knew me. lol
How could you ever hide what you feel?
All along it was there in your mind, in your heart.
Kwani nakudanganya? Why should I?
Yes na nimekushtukia mchezo wako, u r trying to draw me away from my soul mate nami nimekugundua mapema, me and him we like to smile and stare at each other, holding hands makes us more happy everyday. Pole sana EMT try somewhere else.