Even if we don't have one here, we can use trawl net.
It is very effective.
nilikwambia utatundika leseni ukutani!Naona umeanza kuni-quote mara mbili mbili.
Vipi keyboard imeanza kuteleza?
Au macho yanaona double? lol
snowhite unaona? She has already planned to eat me.Unajua nini? nakuangalia sikumalizi,
mie sitakiiiii.
snowhite unaona? She has already planned to eat me.
Yaani sasa anapiga mahesabu ya jinsi ya kunila na kunimaliza bila kubakisha hata mfupa.
See? Hutaki nini tena wakati unaniangalia bila kunimaliza?
Mara nataka sitaki, nataka sitaki, mbona wewe kisebusebu?
a seine will do also!
Huko kwenye red, are you OK? lol

nilikwambia utatundika leseni ukutani!
i warned you partner!i warned you!
should we adjourn??
You see? Loadz of options to catch the big fish.
aaaah we ushanchosha looh!!! mwanaume unamaneno kama asumani msumeno aaah!! na hiyo profession yako inakuruhusu kuongea na kuquote mtu hata kama hakumaanisha alichokisema. Hebu rudi ofisini kwako kuna mafaili yanatakiwa mahakamani nenda uyapeleke.
mimi hii sitakiiiiiii af wewe unajua herufi moja kisheria inabadilisha maana!hakusema sitaki
alisema MIE SITAKIIIIII,imagine hii MIE hii!lol!
my wee vibaya hvo!sinifanyie hivo kwa partner wangu ,ka law firm kenyewe ndo kanaanza ujue!
in deed!Kwa maneno yake, I guess she wants to move the hearing in chamber, but I think the public might be interested into this case. So, many parties are involved as well.
kwa mwendo huu i will give you the white christmas plus the blue boxin day!
jus keep on nailing!
Huko kwenye red, are you OK? lol
aaaah we ushanchosha looh!!! mwanaume unamaneno kama asumani msumeno aaah!!
mimi hii sitakiiiiiii af wewe unajua herufi moja kisheria inabadilisha maana!hakusema sitaki
alisema MIE SITAKIIIIII,imagine hii MIE hii!lol!
my wee vibaya hvo!sinifanyie hivo kwa partner wangu ,ka law firm kenyewe ndo kanaanza ujue!
tukiona kazidi ukubwa wa tutatumia jarife,au???/