Imetokea kweli, japo bado siamini...

bhaelezeee bhajue bhapate kusikia!bhapate ukweli juu ya moyo! EMT bora tu ungejibakiaga kwenye home made chocolate zangu!
snowhite mie huyu EMT nimemshindwa haelewi la muadhini wala la mnadi sala kuwa mie nina soul mate wangu na siwezi kuwa nae labda umueleweshe zaidi kwa kilugha chao mie nshachoka sasa.
 
Last edited by a moderator:
snowhite mie huyu EMT nimemshindwa haelewi la muadhini wala la mnadi sala kuwa mie nina soul mate wangu na siwezi kuwa nae labda umueleweshe zaidi kwa kilugha chao mie nshachoka sasa.

ahahhah usijali sakapal
huyu EMT niachie mie wala asikupe shida!
tuna kampuni yetu ya uwakili sasa ndo anafanya practise zetu hapa!
shida ni kwamba sikumwambia mapema kuwa we una soulmate wako ili AKUWACHE! EMT umesikia???twenzetu ofisini bana!
 
Last edited by a moderator:
ahahhah usijali sakapal
huyu EMT niachie mie wala asikupe shida!
tuna kampuni yetu ya uwakili sasa ndo anafanya practise zetu hapa!
shida ni kwamba sikumwambia mapema kuwa we una soulmate wako ili AKUWACHE! EMT umesikia???twenzetu ofisini bana!

uuuuuphhs!! thanks my wee.
 
mie huyu EMT nimemshindwa haelewi la muadhini wala la mnadi sala..

Asiyekubali kushindwa si mshindani.

Umekubali kuwa umenishindwa, kitu ambacho kinanifanya nishindane na wewe zaidi.

You're competitive. Aren't you? Usitake kuniambia you aren't.
 
Usikute The Boss ndo soul mate wake?

Maana amesema alimpata humu humu lakini sio chitchat, though alinishauri nikamtafute wangu chitchat. lol

ahahahhahahhaahha The Boss kuja useme hapa!
inawezekana ndo soulmate wa mtu hapa! EMT should we keep on probe on this???
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Kesi zenyewe zinakuja kwa ajili ya mention tuu, so hakuna tija sana.

Our legal officer will sort that out.

I'm looking for a big fish and I can see it in you.

snowhite, this year I want a White Christmas.

big fish needs a big net!
and we do have one!
shooot!
 
Reactions: EMT
Usikute The Boss ndo soul mate wake?

Maana amesema alimpata humu humu lakini sio chitchat, though alinishauri nikamtafute wangu chitchat. lol
EMT chokochoko mchokoe pweza binadamu hutomuweza.
 
Last edited by a moderator:
Usikute The Boss ndo soul mate wake?

Maana amesema alimpata humu humu lakini sio chitchat, though alinishauri nikamtafute wangu chitchat. lol
EMT chokochoko mchokoe pweza binadamu hutomuweza. For ur information, The Boss is not and will never be my soul mate, my soul mate nimekutana nae nje ya jf b4 hata sijaingia jf so stop calling pple out there as my soul mates. Picha yake si nimeshakuonesha? Unataka nini tena? Umetumwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Kesi zenyewe zinakuja kwa ajili ya mention tuu, so hakuna tija sana.

Our legal officer will sort that out.

I'm looking for a big fish and I can see it in you.

snowhite, this year I want a White Christmas.

Go and fish somewhere else for me u r late oooh, have u hear me oooh, EMT I hope u get me oooh!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Asiyekubali kushindwa si mshindani.

Umekubali kuwa umenishindwa, kitu ambacho kinanifanya nishindane na wewe zaidi.

You're competitive. Aren't you? Usitake kuniambia you aren't.

Unajua nini? nakuangalia sikumalizi, kwani unashida gani EMT kwanini hutaki kuniacha? mie sitakiiiii.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…