Mamaaaneee huyo achana nae huyo mmaaaaa njoo kwangu tajiri mie 😎Bwana wewee
Me kunogewa na Derick tuu
Pm ipo wazi habibi naishi kigamboni Cheka nyumba no 10Nipatie address yako boss
Mtaje mahi usivuke na mambo ya 2024 😜Ilishawahi kunitokea kwa member mmoja humu
Sijui alikufa ama alibadili ID
Fanya substitution.Dah yanii amejua kuniumizaaa