Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?
Kwa hiyo unashawishika kutoa?
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).
Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
hili ndio tatizo la jamii yetu...we dnt want to say the truth. kuzaa nje ya ndoa ni shameful thing and shuld be viewed that way. tumekuja ona kitu cha kawaida na ndio maana inaendelea kuwepo.
secondly huyo dada yako ni irresponsible....kuzaa azae yeye kulea walee grandparents....loh
so, atoe.....???
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).
Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
so, atoe.....???
yaani utafkiri uliwaza kichwan mwangu..............
ivi aanchoumia ni nini?? a collage stdnt ambaye hawez hata kujiamulia ya kwake??
yu me hii ingekuwa ndo tiket yan kujua huyu sio mtu sahihi, na hapo ningemwambia go to hell buddy..........maisha bado yapoO
namkumbuka my best friend Eva alipata kisa kakma hiki tena kwa mwanaume ambaye alikuwa ni mchumba wa muda mrefu. mvulana alipojitia tu toa Eva akamwambia mimi sitoi ila ya kwako katoe............leo hii naandika hapa mwane anasoma Ubungo islamic na ni kichwa vibaya mno yule mvulana hamjui kwa chumvi wala sukari na kadada kanafanya kazi bandari na ela chafu.
bahati nzuri akampata aliye wake wa ukweli akamuoa na sasa mtoto anaish yerusalemu, kale kavulana kameishia kusaka watoto mpaka leo hakajapata na kila siku anajuta eti mke wangu alipaswa awe fulan.
acha kujiendekeza jipange mama ukiskia umama ndo huo tenba bora kakuambia mapema kuliko angesubiri uko kwenye emza ya kujifungulia unaskia kaoa
.
Usijali...kwanza nijue baba zao wako wapi..yaani circumstancea of the casw