huyu msukuma kapata wa kumkamata sehemu nyeti hadi kachanganyikiwa, mapenzi kwa mkewe yuyo yalikuwa yameshaisha zamani ila tu viapo vyetu hivi vya 'mpaka kifo kitutenganishe' ndio vinaleta taabu ingekuwa kwa wenzetu majuu wameshaachana kitambo, sie tunahofia eti wajomba, wazazi majirani watanielewaje nikimwacha mke/mume!!! yaani kulikoni kumpa kichapo hicho ni boira angeamua kiume tu kuwa tuachane aendelee na huyo hun wake maana inaelekea anahudumia hadi mahitaji yote ya ndani sasa wa nini kumgombea. Huyo dada amfungulie shtaka huyo mume, sheria ifuate mkondo wake, maana si maumivu tu aliyopata, bali amethubutu 'kuua' kiumbe ambacho ni damu yake mwenyewe, je huruma na wewe mwanamke itatoka wapi, next time huyo dada aget prepared kulala kwenye coffin for good!!! pole zake maskini
nimekusoma na nimekukubali dada ... amebarikiwa mwanaume yule aliye na pearl kama mkewe!!
MDBD
luv mie jana namwangalia tu anavyomwaga machozi hadharani, nabaki nashangaa tu, cmuelewi inachomliza luv....ucdhubutu hii kabisa luv, mpende/mdhamini/mjali mkeo, hivi luv mie nimeshakuwa muoga kabisa, yaani cjui nitairudiaje hali yangu ya mwanzo.....nahc kumuogopa mpaka mr.
my dear, kwa kichapo hicho kisa msg ambayo inaukweli ndani yake, huyo mume hafai, ni bora uachane nae kabisaa kuliko kupoteza viungo vyako au hata maisha kisa eti kudumisha ndoa! ndoa bila mapenzi ni sawa na chai bila sukari!! mapenzi huanza kwanza ndipo ndoa, na once mapenzi yanapoisha hapana ndoa hapo!!!!
nitaendelea baadae wapendwa, narudi hosp.
mchana mwema.
Bado cjapata but naamini Mungu atanipa yule alie mwema na ambae atanipenda na kunidhamini, (Kunithamini)ups n down kwenye mahusiano ni kawaida but ikitokea akanipiga,naamini Mungu ataweka malaika kati yetui ili akinyanyua mkono tuuuuuu,malaika ataushika mkono ule na kupingisha kidogo tuu ili yy apate yake maumivu aliyotaka kunipa mm,then mambo yatarudi sawa.
nitaendelea baadae wapendwa, narudi hosp.
mchana mwema.
🙄......
jamani mie nilikuwa na wa hivyo miaka ileeeeeeeeeee kwanza kabisa alikuwa mwanaume ambaye anakosea badala ya mie nilie yeye ndo analia na kuniomba msamaha kwa wingi na alionyesha kama ana true love kumbe ile
Artificial ile kuona chozi lake najirudi naona napendwa sana kama Dhahabu inavyotafutwa migodini..
lakini kumbe lol alikuwa anani-enjoy aliendelea kufanya vituko vyake na kunipaka mafuta kwa mgongo wa Chupa matokeo yake niliambulia kuvikwa engagement ..kumbe lol (...........................)
Sina la kumshauri dada hapo namuombea apone na mungu ampe nguvu na ujasiri hasa ukizingatia huyo mmewe yeye ndo anamjua vizuri kuliko akina sie
ok bye uguza pole,na ww pole be a strong woman like Elizabeth,hakuwaza kutoa mimba ijapokuwa kwa akili ya kawaida watu wangeshangaa mimba by uwezo wa roho mtakatifu how!!!!!!!!!!
did u meant Virgin Mary??
did u meant Virgin Mary??
....hajadhubutu kwenda hosp lakini nyumbani kwake amerudi.....
...ananiambia cjui huyo mwanamke wake amempa nini mpaka akamtendea mke wangu maovu hivyo, anasema hataweza kuishi bila mke wake...atapambania ndoa yake hata haamishiwe wapi.
muhanga ma dia, mbona sasa mr analia sana, au ndio ana pretend? akienda hosp na yale machozi aliyonimwagia jana na magoti juu hii stori nahic itabadilika....tuna huruma sana! amelia jana amelia cna maelezo, anasema atatenganishwa vp na mke mzuri kama yule, atampatia wapi tena mke kama yule, bac nitapambania ndoa yangu...alichonifanya nikatoa jicho ni aliponiambia" hata alienifanya nikamtenda mke wangu hana uzuri/kiwango cha mama naniii".....nyie bwana ndoa ngumu sana.
I hate the bolded sentence!!!! mi ukinikosea pliz niombe tu radhi ukimtaja shetani, jua ugomvi huo hautaisha, ck hz watu tunafanya mambo makubwa, ya kinyama in the name of shetani! but sometimes huwa tunafanya makubwa ya kumsuprise hata huyo shetani mwenyewe!!
Xpin kashikwa analea mtoto leo, hamuwezi kumpata kabisa haaaaaaaaaaatunasubiri ushauri wa Gorji Porjie ... Crispin ... na Fidel80 katika hili tafadhali!
MDBD