kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?
We nae usituchoshe. Watu wazima mumekaa kujadili ya zamani. Yanakuhusu nini?
sijaona hoja ya kunadil hapo .
kuna msichana
nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa
wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo
wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na
yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu
akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G
friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana
niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba
lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?
sijaona hoja ya kunadil hapo .
Uongo n mbaya sana watu hawajui tu..kama uliwah muuliza akakana na hakutaka kujua mdokeze tena mwambie una habar zake umeskia aliwah abort uone atakavyojibu halafu ujaribu kufanya research yako mwenyewe uthibitishe hicho ulichoambiwa... Ataficha hadi lini
kweli kabisa wakati mnaanza relation unamuuliza mtu ili ujicondition uko na mtu wa aina gani but akikudanganya mambo mengine ujue kadanganya.
'mmoja nlitaka kuanzisha naye relation nkamuukiza una mtoto/watoto wangapi? kaniambia hajawahi tena nisimkumbushe jinsi ambavyo mama yake na ndugu wanamsema jinsi amechelewa kuoa na hana hata mtoto wakusingiziwa. ktk story za hapa na pale kwa simu akawa anahitaji kwenda kusoma masters akalalamika hela ni nyingi. nkamwambia kwakuwa huna mtoto anayekutegemea kama mimi jibane usome we si bachela hela una maliza pesa na nini? akajikuta anaropoka mtoto wangu kaanza kindergaten natoa ada mimi mtoto mwenyewe kumuona ni shughuli siunajua mwanamke ukimzalisha hujamuoa anakuwa na visaa ila natuma matumiz kuepuka shari. nkamuuliza una mtoto akasema roho imeniuma ulivyonambia sina majukumu na uzee huu. nikamwambia na mengine yote ulonambia nayafuta yote niya uongo tafuta form two umdanganye unafichaje mtoto ulokwisha kumzaa. nikamdelete siku ile kwa sababu hiyo
Hata angekuwa amemuoa, it's none of his business, that is the past and it's what makes her who she's today, the girl that he 'loves' may be she's regretting of what happened and she managed to move on. She's learned her lessons. Does he have a clean record himself au kwa sababu wanaume hatubebi mimba?
Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe.
:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:...hujambo?Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion.
Jamani hiyo ishu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nini cha kumfanya maana niliwahi kumuuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata.
Jamani waungwana huyu ananifaa kweli?
Kuna
msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna
jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana
mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga
story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu
akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G
friend wangu waliwah ku abotion.
Jamani hiyo ishu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nini cha kumfanya
maana niliwahi kumuuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa
mimba lakini akanikatali katakata.
Jamani waungwana huyu ananifaa kweli?