Imekwaje facebook account ya Ridhiwani imeweka link za CHADEMA leo?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
[h=1]Ridhiwani Kikwete[/h]


Associate at IMMMA AdvocatesStudied LL.B at University of Dar es SalaamLives inDar es Salaam, TanzaniaKnows Swahili, EnglishFrom Bagamoyo, Tanzania





[h=4]You and Ridhiwani[/h]



See All[h=4]People You May Know[/h]


http://www.facebook.com/ridhiwani#Erick Mponda2 mutual friends
Add Friend


http://www.facebook.com/ridhiwani#Manka Mmary3 mutual friends
Add Friend









[h=3]Wall[/h]





 
Du inahitaji sana busara kufanya mambo yenye ufahamu wa nafsi,kwa mwenye busara page hizo hazistahiki kukaa kwenye page ya Mtoto wa Rais.
 
sasa unaleta ya ridhwani sisi tufanyeje?? ya fesibuku yaache fesibuku na ya JF yapigie humuhumu mkuu
 
Jina la yesu limeanza kazi yake ya kutoa mapepo, yapo mengi yameanza taratibu kumtoka kama lowasa vile
 
sasa unaleta ya ridhwani sisi tufanyeje?? ya fesibuku yaache fesibuku na ya JF yapigie humuhumu mkuu
sio lazima uingilie uzi kama huna la kusema
 
mbona nimeingia facebook sijaona chochote kwa wall yake?? au ni mtu tu kafungua account nyengina na kujiita rizone??? na kuanza kupost huo upupu???
 
mbona nimeingia facebook sijaona chochote kwa wall yake?? au ni mtu tu kafungua account nyengina na kujiita rizone??? na kuanza kupost huo upupu???
Atakuwa amezifuta au walihack account
 
napata mashaka na uwezo wa watu wanaojiita great thinkers, nadiriki kuwaita wavamizi wa hapa jamvini, tuna ishu nyingi sana za kujadili hapa jamvini, inakuwaje tunamjadili mtu kilaza kama huyu na kwa mantiki ipi kitaifa???tunataka mambo yenye athari chanya kwa nchi sio mtu aiyejua alama za nyakati. nadhani tutumie fursa hii kuibua, kuchangia na kuhamasisha ili nchi yetu iwe ni sehemu ya watu kama wengine duniani na si ujinga na upupu unaoletwa na vilaza!hizi habari ni UDAKU na udaku hapa si mahala pake!PLEASE TUHESHIMU TOPIC NA SEHEMU ZAKE!
 
Back
Top Bottom