Imekuwaje Mkataba wa Amani kati ya Congo na Rwanda, Tanzania tumewekwa kando?

Kenya ndie alikua msuluhishi wa Mgogoro tangu kipindi cha Uhuru Kenyata, Rais Tsheshekedi akawa haudhurii kwakua aliamini Kenya inawapendelea Rwanda/ M 23.
Burundi anahusika Moja kwa Moja kwakua mara kadhaa Rwanda / M 23 vikosi vyao vilikua vikipambana uku Burundi aki isaidia Kongo.
Burundi imekua iki lalamika vikosi vya Rwanda/M 23 vina ingia mpakani na kusababisha vurugu.

Kenya Licha ya kuwa msuluhishi lakini aliwatambua waasi wa M23 walipo chukua miji ya Goma na Bukavu na kujitangaza Kama Nchi.

Ao walioitwa na Marekani/ Trump kwenye kupatana ndio wahusika halisi wa uo Mgogoro.
 
Maana yake mmesha poteza haiba ya kuwa wasuluhishi sasa rasmi mmekuwa wachonganishi,na msioweza kuliunganisha japo tu, taifa lenu wenyewe.
 
Wameona hamna kiongozi mwenye busara..yupo muimba taarabu tu Sasa ataongea nini zaidi ya mipasho na kula Kacholi
 
Trump hawezi kukaa meza moja na zero brain wewe!
 
Wala hakuna haja ya Tanzania kualikwa sababu, vita ni kati ya Rwanda na Congo, hata Uganda hakualikwa japo ana majeshi ya ndani ya Congo, na M23 kinara wa vita pia hakualikwa
Kaeni kwa kutulia....
Hakuna mtu mwenye akili ataita serikali ya wapumbavu na wauaji kama Samia kwenye mikataba ya amani, now we’re worse than Fuckkin Somalia ,CCM ndio waliotufikisha hapa, lazima waondoke
 
Kwahiyo kwa unyambisi wote na umwagaji damu uliotokea nchini ulitegemea tuitwe nchi ya amani kweli!
 
Nayaangalia machoko ya kitima yanavyojitekenya na kuchemka yenyewe nabaki kucheka tu. Bado saaaaana Tanzania kufika huko mnakowaza nyie vifurukunyoko. Hamjui chochote kuhusu hayo mambo zaidi ya kubwabwaja tu hapa.......kuongelea Yale mnayotamani yatokee.

Nawakumbusha tu, huyo Ruto anayealikwa na trump alikuwa huko icc hivi majuzi tu. Mapunga nyie!!!
 
Sababu kuna jambo letu linakuja!

Sijui lipi litawahi ni la ICC ama lipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…