...Yule mshambuliaji wetu hatari Ngasa alichaguliwa kukipa nguvu kikosi chetu cha Manyara Stars(U-23) lakini cha kushangaza hata kwenye orodha ya wachezaji waliotakiwa kulitetea Taifa letu hakuwepo...najiuliza kunani? Au walihisi yanaweza kutupata ya Nurdin Bakari kipindi cha FAT ya Muhidin Ndolanga...?
Hatuna soka la Kulipwa...Haiingii akilini, dat means alianza kucheza soka la kulipwa akiwa under18?. Je sheria ze2 znaruhusu? Naomba muongozo.
Haiingii akilini, dat means alianza kucheza soka la kulipwa akiwa under18?. Je sheria ze2 znaruhusu? Naomba muongozo.
wachezaji wa kitanzania wengi hudanganya umri...hebu piga mahesabu kwa Ngasa, Amemaliza lini shule na akiwa na miaka mingapi, kachezea miaka mingapi pale kagera Sugar, Yanga na Sasa Azam, kaaoa akiwa na umri gani?