Imekula kwake.

Imekula kwake.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Bosi mpya katika construction site aliamua kuonyesha yeye ni mchapakazi hodari kuliko wa zamani.Katika pita pita yake,akamkuta jamaa amelala kivulini muda wa kazi.Akamuuliza;wewe kijana,kwa nini umelala muda wa kazi?unalipwa sh.ngapi kwa mwezi?.Yule kijana akajibu;$4000 boss!.Bosi kwa hasira akaenda naye mpaka ofisini,akamlipa $4000 na kumtimua kazi muda ule ule.Baada ya hapo,bosi akaenda kuwauliza wafanyakazi wengine;yule kijana niliyemtimua kazi alikuwa anafanya kazi section ipi?.Jamaa wakamjibu;samahanibosi,unamaanisha yule jamaa muuza Ice-cream aliyekuwa amelala pale kivulini?
 
Hahahahaaaa jamaa ana bahati..kauacha uuza ice cream
 
bongo tunaishi kimjini mjini mimi nina corola zile vogue ninazoendesha ni mambo ya kimjini mjini.. hahahahaha....
 
wajinga ndion waliwao, huyo bosi alifanya uamuzi usio wa busara ndio maana imekula kwake
 
Tatizo bosi anajifanya ana hasira sana na kazi,kiufupi ana akili mkurupuko.
 
kuzaliwa dsalam raha lol.
akili kumkichwa ukizubaa.... feli io.
hahaha.
 
Bosi mpya katika construction site aliamua kuonyesha yeye ni mchapakazi hodari kuliko wa zamani.Katika pita pita yake,akamkuta jamaa amelala kivulini muda wa kazi.Akamuuliza;wewe kijana,kwa nini umelala muda wa kazi?unalipwa sh.ngapi kwa mwezi?.Yule kijana akajibu;$4000 boss!.Bosi kwa hasira akaenda naye mpaka ofisini,akamlipa $4000 na kumtimua kazi muda ule ule.Baada ya hapo,bosi akaenda kuwauliza wafanyakazi wengine;yule kijana niliyemtimua kazi alikuwa anafanya kazi section ipi?.Jamaa wakamjibu;samahanibosi,unamaanisha yule jamaa muuza Ice-cream aliyekuwa amelala pale kivulini?

Safi! Huu ni mfano mzuri wa hasira hasara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom