Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Mbona kama Unique Flower kaja na ID mpya, yule member aliesafirishwa toka Mwanza hadi Dar halafu akapewa 8,500
 
Kama una maisha magumu sema nikusaidie.

Hata kukutafutia madanga yenye hela
Sina shida ya kutafutiwa njooni na ID zenu zinazotambulika tujibishane vizuri msidanganye umma . Nyuma sio afya Madanga yapo Tanzania hii kweli, wewe unanini tuanzie hapo sema gari unayoitumia ndio nitaamini unamaisha .

Ila unazidi kupotea kutokana na akili mbovu ulionayo , maisha ni kutafuta wewe na upate kwa jasho lako. Madanga unayajua wewe umewahi pewa moja . Yanayoitwa madanga au unavifuta jasho mwisho wao kodi ni ya laki 3 nawanakulisha viepe unaita madanga nionyeshe passport yako imepigwa mara ngapi . Ukiwa unaenda vacation
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…